Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Hii imetolewa hapahapa Tanzania au huko kwa wategemezi wa Lissu?
Ukivunja sheria hata ibilisi nae atakukataa tu,maana kuna siku na yeye utavunja sheria zake.
Huu ni ugoro wa hapo Lumumba.
Hii imetolewa hapahapa Tanzania au huko kwa wategemezi wa Lissu?
Ccm imechokwa, kila sehemu lazima wasombe watu kwa magari kupeleka mikutanoni, waache watu waende wenyewe pia wasikodi wasanii.Huu ndio ukweli mchungu kwa hawa watu hawa ambao wameamua kutumia mabavu kunyanyasa wengine, tena wakitimiza wajibu waliopewa kwa doublestand ya hali ya juu.
Mnawalazimisha watu kutafuta haki zao nje ya mifumo iliyopo kwasababu mifumo hiyo haitendi haki alafu cha ajabu nyie ndio mnakuwa wa kwanza kulalamika.
Kwa kifupi, mnachokifanya ni sawa na kumtandika mtu mzima bakora alafu ulalamike kuwa anakupigia kelele anapolia kutokana na maumivu uliomsababishia au usitake alie kabisa.
Kwa mwendo huu,hata shetani watashirikiananae mradi tu anaweza kuwasaidia kupata haki yao na hata Mungu atatoa baraka zake.
Unaweza kuthibitisha beyond reasonable doubt kuwa hii document ni valid na wala siyo propaganda za maji taka?Unafikiri kila mtu ni mpumbavu wa porojo na propaganda za maji taka kama wewe?
Unaweza kuthibitisha beyond reasonable doubt kuwa hii document ni valid?Unafikiri kila mtu ni mpumbava kama wewe?
Huu utopolo uneandaliwa na Diwani DGI ili kumfurahisha boss wake baada ya kufokewa Sana wiki Jana kwamba hafanyi kazi ipasavyo
Mpe za uso huyu Lumumba. Anafikiri wananchi bado tuko zama za ujinga mpk leo.Unaweza kuthibitisha beyond reasonable doubt kuwa hii document ni valid na wala siyo propaganda za maji taka?Unafikiri kila mtu ni mpumbavu wa porojo na propaganda za maji taka kama wewe?
Hapo ndiyo umethibitisha beyond reasonable doubt kuwa document yako uliyopost ni valid?Kwa nini unatoka nje ya mada yangu mimi na wewe?Ni umbumbumbu?Tatizo vijana wa Chadema mnauwezo mdogo sana
Ndio Maana mtapigwa tatu bila mbaki mnangaa macho jf
"CCM inapendwa na mbumbumbu" .....TwawezaTatizo vijana wa Chadema mnauwezo mdogo sana
Ndio Maana mtapigwa tatu bila mbaki mnangaa macho jf
Huu utopolo uneandaliwa na Diwani DGI ili kumfurahisha boss wake baada ya kufokewa Sana wiki Jana kwamba hafanyi kazi ipasavyo