Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Magufuli sio mjinga hadi asaini mikataba ya kijinga, kama hamna sera semeni
Hata wakati Mkapa anasaini mikataba vya wizi, alikuwa na wapambe wa kumtetea kama ww.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magufuli sio mjinga hadi asaini mikataba ya kijinga, kama hamna sera semeni
Hapana kiongozi, Rais Magufuli anauzalendo uliotukuka na uwazi upo
Kama mzalendo mbona ATCL hakuna auditing?Kama ipo tumeingiza sh ngapi mpaka sasa??ccm oyeeMagufuli hawezi kuuza Nchi ni Mzalendo haswa
Usimfananishe na wale waliotumwa na Wazungu
Na wewe nae ni mtu wa kuriri uongo wa Lissu? Yaani taarifa kuwa nchi imekopa huwa hazitolewi?Ukishaona kiongozi anajifanya mzalendo lakini hataki uwazi, jua huyo ni mpigaji kama wapigaji wengine. Utasikia tunajenga mradi fulani kwa pesa za ndani, lakini fuatilia vizuri utakuta deni linapanda na hataki ifahamike hela anakopa wapi.
Na wewe nae ni mtu wa kuriri uongo wa Lissu? Yaani taarifa kuwa nchi imekopa huwa hazitolewi?
Wewe dogo vuta kumbukumbu zako vizuri. Nilikuambia Dar Moro ndio kuna pesa ya ndani ilitumika.Wakati mwingine bora uwe unakaa kimya, kuna siku nilikuambia huo mradi wa reli kuna 3t+ imekopwa. Ukawa unalazimisha kuwa huo mradi ni fedha za ndani. Tena nikawa nashangaa iweje serikali ikakope huko huko bank ya China, wakati JK alikuwa ameshakubaliana na wachina kujenga huo mradi wa SGR kwa mkopo wa Exim bank ya China kwa $7b, kwa 100% ila kwa sharti kwamba kampuni ya ujenzi iwe ya China?
Kaingia Magufuli akabadili kampuni ya ujenzi, na uongo mwingi kuwa fedha ni za ndani, huku anakopa huko huko China kwa ujenzi wa vipande vipande.
Nakumbuka wakati wa gesi walisema umeme unit moja itakua sh.90.leo hii umeme sh.kama 300 na zaid. Gesi ipo na mikataba ilipita bungeni kwa mkono wa chuma!!Hata kwenye gesi ya Mtwara maneno yalikuwa ni haya haya ile leo kiko wapi?
Yan umezungumzia kwa mfano yani huna uhakika na unacho sema bora usinge kuja hapaJapo ni kweli kuwa umeme unaotokana na maji huwa ni wa bei nafuu kulinganisha na umeme unaotokana na vyanzo vingine kama vile mafuta, gesi,nuclear, n.k , lakini je,si kweli kuwa mkataba wa ujenzi wa chanzo husika cha umeme unaweza kufanya bei ya umeme kuwa kubwa kuliko inavyotarajiwa?
Kwa mfano, kama mkataba una kipengele kinachosema kiasi fulani cha fedha zitazotokana na mauzo ya umeme zitatumika kumlipa mjenzi/mkandarasi wa mradi, mkataba wa aina hii hauwezi kufanya bei kuwa kubwa kuliko inavyostahili?
Au kama mradi umejengwa na mkandarasi kwa gharama zake(awe amechukua mkopo au vinginevyo)huku akijilipa kwa kutumia sehemu ya fedha za mauzo ya umeme, hapa bei ya umeme haiwezi kuwa kubwa kuliko inavyotarajiwa?
Kwasababu ya kujiuliza ni mengi na kwakuwa hatujui kilichomo katika mkataba, ni bora tu tukawa walpole kuliko kuwa washangiliaji.
Tukumbuke ya gesi ya Mtwara na hatima yake kwa Watanzania na Taifa kwa ujumla.
Hakuna mcha Mungu anayeteka watu, anayeua watu, anayepoteza watu wala kuamrisha wakosoaji wake wapigwe risasi.Sisi tunamuamini Rais Magufuli kila anachochosema Kwasababu ni mcha Mungu na wala hajatumwa na Wazungu kuja kuharibu Nchi km yule mgombea
Umeme utakuwa sawa na bwerere, tunamuomba Rais Magufuli awe makini na Chadema wasije wakabomoa bwawa
Mali ya watanzania.....? nani kasema...?Si bwawa la umeme tu mi sielewi hata hii mikataba mipya kibao tunayoingia na hawa mabeberu wa madini..hata sielewi kwa nini inafichwa fichwa wakati madini ni mali ya watanzania ?
SawaMwambie huyo mgombea wa Chadema aache uongo. Atapata aibu kubwa sana mwaka huu. Naweka ushahidi hapa chini kuonyesha malipo yanafanyika kwa awamu na sio kwamba mkandarasi atalipwa kutokana na mauzo ya umeme. Acheni siasa za uongo