Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 10,999
- 23,540
Nimetazama hii movie 🎥 🍿, dah najuta mzee kupoteza muda wangu.
Kwanza nilipoona tu director ameshirikisha wahindi nikaweka doubt ila nikajikaza kwasababu najua star wa movie ni mzee mzima Liam (actor wa TAKEN 1,2 &3) huwa kazi zake zimekaza na ni za kibabe.
Dah, aisee kuitazama hadi mwisho nimetumia uvumilivu mwingi sana kisaikolojia. Maana magepu ya kutosha humo ndani mixer vipengele kama vya BONGO MOVIE 😂.
Dah kwenye hii movie hawajamtendea haki mzee wa kazi Liam Neeson. Team ya production wamepuyanga sana. Natamani kumuandikia email kumuelekeza siku nyingine atazame kazi anazopewa zisimshushe kwenye heshima yake ya "Bad ass" action figure.
Nimepoteza tu muda wangu hadi nimejutia.