Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Hongera mkuu, nadiriki kusema u miongoni mwa watu waliosababisha jf iendelee kuwepo kwa namna ulivyoiunga mkono wew na wenzako waliopo na hata walioishia njiani, nafikiri unastahili pongezi tukiweka unafiki wa ktz kandoUnatamani uniibie nini wewe Muree?