Kama hauko katika hizi listi fanya uwepo mwanaJF

Kama hauko katika hizi listi fanya uwepo mwanaJF

Supermarket
Iceman 3D
Ukhuty naona mnakimbizana.
Zz kabaki wapi
Soon na wewe utakuwepo kwa list tuanze kukimbizana sote, kwa maana njia tunayokimbiza na kina ukhuty na Iceman 3D ni moja. Tunatembea na sakayo huku tumemshika mkono mbio nyingi vumbi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
-Zz yupo biz kidogo
 
*Nakuona nakuona shilawadu[emoji1] [emoji1]
-Namuona baby wako pale kwa most messages[emoji12]
-Na wewe soon nikuone kwa list 2017.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baby kishanimwaga et kisa kanifuma natongozwa mitaa ya kati Na akasahau kua nilimfumania red handed

Tuseme inshaallah [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Soon na wewe utakuwepo kwa list tuanze kukimbizana sote, kwa maana njia tunayokimbiza na kina ukhuty na Iceman 3D ni moja. Tunatembea na sakayo huku tumemshika mkono mbio nyingi vumbi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
-Zz yupo biz kidogo
Kushikwa mkono sitaki ndo maana mmeniacha, nataka bebwa mie
 
Mbna mimi cpo kwenye hyo list wakati ofcn kwangu nina barua ya warning sifanyi kazi nashinda jf???
Huu ubaguzi huu..
 
Sijaelewa yani MTU ametuma post sitini na tano elfu au macho yangu 65000 posts mh
Hao wapo kitambo sana, twaweza sema ni miongoni mwa waasisi wa jf, na safari ndefu sana kuifikisha jf ilipo sasa
Cc nyani ngabu
 
Hao wapo kitambo sana, twaweza sema ni miongoni mwa waasisi wa jf, na safari ndefu sana kuifikisha jf ilipo sasa
Cc nyani ngabu

Ila Rutashubanyuma anatisha bana.

Nisipoangalia anaweza kunipita hata kabla hii 2016 haijaisha.
 
Back
Top Bottom