Hongera mkuu, nadiriki kusema u miongoni mwa watu waliosababisha jf iendelee kuwepo kwa namna ulivyoiunga mkono wew na wenzako waliopo na hata walioishia njiani, nafikiri unastahili pongezi tukiweka unafiki wa ktz kandoUnatamani uniibie nini wewe Muree?
Wew umetisha zaidi kwa kushikilia rekodi muda mrefu sana, huyu ruta sina historia yake ya nyuma sana, nafikiri itikadi yake hunifanya nisimfuatilie zaidi japo simchukiiIla Rutashubanyuma anatisha bana.
Nisipoangalia anaweza kunipita hata kabla hii 2016 haijaisha.
Hongera mkuu, nadiriki kusema u miongoni mwa watu waliosababisha jf iendelee kuwepo kwa namna ulivyoiunga mkono wew na wenzako waliopo na hata walioishia njiani, nafikiri unastahili pongezi tukiweka unafiki wa ktz kando
Usijali mkuu chagua mwenyewe÷Kushikwa mkono sitaki ndo maana mmeniacha, nataka bebwa mie
Hance mtanashati ndio moto wa kuotea mbali, angekuwepo around ungeniambia mwenyewe na kumpigia salute.Tatizo Iceman 3D kapata wanyonge wake basi anariiinga
Amin[emoji120][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baby kishanimwaga et kisa kanifuma natongozwa mitaa ya kati Na akasahau kua nilimfumania red handed
Tuseme inshaallah [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Ha haa basi hapo Li Ngabu bichwa limefuraaa. Usilisifie sana hiloWew umetisha zaidi kwa kushikilia rekodi muda mrefu sana, huyu ruta sina historia yake ya nyuma sana, nafikiri itikadi yake hunifanya nisimfuatilie zaidi japo simchukii
Aaaaah sijamsifia nimempa stahili zake, sipendi ile tabia ya kusifia mtu akifa, mwambie akiwa hai na sio ujinga au kujikombaHa haa basi hapo Li Ngabu bichwa limefuraaa. Usilisifie sana hilo
Aaah, kubebwa ni mgongoni na mwendo wa pole msije niangushaUsijali mkuu chagua mwenyewe÷
-kichwani
-mgongoni
-baiskeli
-pikipiki
-gari
-guta
-bajaji
-bodaboda
-bombdier
Kuhusu mwendo unataka mwendokasi, wa kobe au kinyonga.
Hance mtanashati ndio moto wa kuotea mbali, angekuwepo around ungeniambia mwenyewe na kumpigia salute.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nakuaminia najua uwepo wako hakitaharibika kituAmin[emoji120]
Kuhusu huyu baby wako mbona amekuhukumu kwa kesi ambayo sio yako..!!
-Nitaitisha kikao cha familia tuzungumze kwa hekma na busara kutoka pande zote 2, usijali mkuu hilo niachie mimi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tatizo Iceman 3D kapata wanyonge wake basi anariiinga
Ndo mambo yangu hayo[emoji12] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nakuaminia najua uwepo wako hakitaharibika kitu
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]asanteeeeee nakuaminiaNdo mambo yangu hayo[emoji12] [emoji23] [emoji23][emoji23]
Mimi tena, mpambe nimekabidhiwa rungu.
-nways mimi rafiki yako wa kweli, nataka nikufae kwa dhiki wakati wa matatizo tuendelee kuzidi kuwa pamoja na kusaidiana na sio tu wakati wa furaha pekee.
[emoji8] [emoji120] [emoji85] [emoji115] [emoji125]Hapo sawa... Baraka za Bwana ziwe mbele yako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu umependelea maana mimi natoa likes,na coments,michango mpaka pesa zikihitajika za kujenga jukwaa lakn simo kwenye orodha au hao ni wa Ccm bado sisi wa chadema