Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Acha Kiki mkuu sema unamtusua mmoja Yan uwatusue halafu huna hela,huna gari,huna popularity 😳Mie sina gari na sina pesa ila nawatusua kinyama tena wale wa viwango.
Mjini mipango sheikh, si kila kitu pesa.
Njoo PM tukupe madarasa!!
Yupo nyuma ya muda kiukweli.mkuu bado unafanya mambo yako kwa ku target upate mademu?
Wengine hiyo stage tulishavuka, Pambana uondoke hapo.