BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Kwakweli, naona pesa zitamwagwa mezani.Sidhani kama tutakua na Luis msimu ujao...mchizi amekiwasha sana kwenye michuano hii...tangu game na plateau.
Maana kama Walter Bwalya yupo yupo Al ahly...Msuva yupo Wydad...Ulimwengu yupo Tp Mazembe tujiandae kwakweli.
Endelea kusikiliza taarifa za habari karibu yako utajua.Huyu mmenunua ama mmepewa mkopo na mamelodi via ud songo
Kabisa yaani.Kwakweli, naona pesa zitamwagwa mezani.
Picha yake iko wapi nimthamishe?Hakuna blah blah !
Huo ndio ukweli, na tujue hilo na wanaomnyatia nyatia, kama hauna Bilioni 10 za Kitanzania basi usihangaike hata kumhitaji Miquisson.
Tena hio Bilioni 10 ni TUNAKUFIKIRIA au tunafikiria OFA yako. Hivyo kuna uwezekano tukaikataa!
This is SIMBA.......
Utopolo wanasubiri mchezaji amalize mkataba kama walivyokuwa wanamnyemelea ChamaAhaaaaa,mnawakatisha tamaa Uto.
Walikua wanajipanga wamvute msimu ujao.
"mambo gani sasa haya ya B10 tena jamani"
Aangalie asipotee kama SamataKwa kweli kwa huyu bwana mdogo,tayari timu kibao zitakuwa zimetoa macho na usishangae hata hao alahly wakamposa kabisa..
Ata ivyo asingekubali kwenda Uto.Utopolo wanasubiri mchezaji amalize mkataba kama walivyokuwa wanamnyemelea Chama
Walimtaka chama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pale ndipo nilipowaona hawa jamaa ni zaidi ya punguaniAhaaaaa,mnawakatisha tamaa Uto.
Walikua wanajipanga wamvute msimu ujao.
"mambo gani sasa haya ya B10 tena jamani"
naona unapata tabu kweli kweli!!Huyu hata taarab hana, unampandisha bei kubwa ya nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ata ivyo asingekubali kwenda Uto.
Yatamkuta kama ya Senzo.
Senzo kaacha u-C.E.O kwenye timu yenye mafanikio Africa kaenda kuwa mshauri kwenye timu ya mazezeta.
Unateseka ukiwa Kidimbwi gani dada mkubwa?Huyu mmenunua ama mmepewa mkopo na mamelodi via ud songo
Tunajua kuwa wameshampa Mkude mkataba wa awali, hawa wazee wa viporo vilivyochachaUtopolo wanasubiri mchezaji amalize mkataba kama walivyokuwa wanamnyemelea Chama