Kama hauna Bilioni 10 haumpati Luis Miquisson

Kama hauna Bilioni 10 haumpati Luis Miquisson

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12,320
Reaction score
11,327
Hakuna blah blah !

Huo ndio ukweli, na tujue hilo na wanaomnyatia nyatia, kama hauna Bilioni 10 za Kitanzania basi usihangaike hata kumhitaji Miquisson.

Tena hio Bilioni 10 ni TUNAKUFIKIRIA au tunafikiria OFA yako. Hivyo kuna uwezekano tukaikataa!

This is SIMBA.......
 
Sidhani kama tutakua na Luis msimu ujao...mchizi amekiwasha sana kwenye michuano hii...tangu game na plateau.
Maana kama Walter Bwalya yupo yupo Al ahly...Msuva yupo Wydad...Ulimwengu yupo Tp Mazembe tujiandae kwakweli.
 
Hakuna blah blah !

Huo ndio ukweli, na tujue hilo na wanaomnyatia nyatia, kama hauna Bilioni 10 za Kitanzania basi usihangaike hata kumhitaji Miquisson.

Tena hio Bilioni 10 ni TUNAKUFIKIRIA au tunafikiria OFA yako. Hivyo kuna uwezekano tukaikataa!

This is SIMBA.......
Picha yake iko wapi nimthamishe?
 
Huyu hata taarab hana, unampandisha bei kubwa ya nini?
 
Ata ivyo asingekubali kwenda Uto.
Yatamkuta kama ya Senzo.
Senzo kaacha u-C.E.O kwenye timu yenye mafanikio Africa kaenda kuwa mshauri kwenye timu ya mazezeta.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom