Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,224
- 1,250
Habari wana JamiiForums
Nimekaa na kufikiria sanaaaa. 100% Mapenzi ni biashara, kila penzi unalogusa linataka pesa, kila ukijaribu upate wa kuishi naye milele usipokuwa na kipato endelevu wanakimbia. Hii ina maana gani?
Hii ina maana Wanawake hawaingii kwenye mahusiano na wewe kwa upendo wa dhati, wanaingia kwenye mahusiano wakitegemea uwepo wa chochote kitu. Pesa ikipungua penzi linanyauka.
Tuna safari ndefu sana ili kufikia malengo yetu wa kimaisha. Kama hauna PESA ENDELEVU achana na mapenzi. MAPENZI KIDOGO MIZINGA MINGI.