Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,224
- 1,250
Hujapata mtu sahihi, ukimpata pesa kwake haitakua kipaumbele sana japo atazihitaji.Habari wana JamiiForums
Nimekaa na kufikiria sanaaaa. 100% Mapenzi ni bahasha, kila penzi unalogusa linataka pesa, kila ukijaribu upate wa kuishi naye milele usipokuwa na kipato endelevu wanakimbia. Hii ina maana gani?. Hii ina maana Wanawake hawaingii kwenye mahusiano na wewe kwa upendo wa dhati , wanaingia kwenye mahusiano wakitegemea uwepo wa chochote kitu. Pesa ikipungua penzi linanyauka.
Tuna safari ndefu sana ili kufikia malengo yetu wa kimaisha.Kama hauna PESA ENDELEVU achana na mapenzi.MAPENZI KIDOGO MIZINGA MINGI
We ndo unajua leoHabari wana JamiiForums
Nimekaa na kufikiria sanaaaa. 100% Mapenzi ni biashara, kila penzi unalogusa linataka pesa, kila ukijaribu upate wa kuishi naye milele usipokuwa na kipato endelevu wanakimbia. Hii ina maana gani?
Hii ina maana Wanawake hawaingii kwenye mahusiano na wewe kwa upendo wa dhati, wanaingia kwenye mahusiano wakitegemea uwepo wa chochote kitu. Pesa ikipungua penzi linanyauka.
Tuna safari ndefu sana ili kufikia malengo yetu wa kimaisha. Kama hauna PESA ENDELEVU achana na mapenzi. MAPENZI KIDOGO MIZINGA MINGI.
Huyo limemkuta Jambo. Sio bureWe ndo unajua leo
Tatizo ni hitajio la mwanadamu kama vile kwenda haja ,kula kulala , kuvaa nk na mapenzi nayo kadhalika.Habari za usiku vijana wangu
Leo sina mengi ya kuongea ngoja niongee kiufupi.....KIJANA KAMA HAUNA KIPATO CHA MAANA ACHANA NA MAPENZI...UTAANDAMWA NA MAGONJWA YASIOAMBUKIZA KILA SIKU......
Siku njema
Naona wameunganisha uzi mkuuHabari za usiku vijana wangu
Leo sina mengi ya kuongea ngoja niongee kiufupi.....KIJANA KAMA HAUNA KIPATO CHA MAANA ACHANA NA MAPENZI...UTAANDAMWA NA MAGONJWA YASIOAMBUKIZA KILA SIKU......
Siku njema
Umeandika kwa uchungu sanaHabari wana JamiiForums
Nimekaa na kufikiria sanaaaa. 100% Mapenzi ni biashara, kila penzi unalogusa linataka pesa, kila ukijaribu upate wa kuishi naye milele usipokuwa na kipato endelevu wanakimbia. Hii ina maana gani?
Hii ina maana Wanawake hawaingii kwenye mahusiano na wewe kwa upendo wa dhati, wanaingia kwenye mahusiano wakitegemea uwepo wa chochote kitu. Pesa ikipungua penzi linanyauka.
Tuna safari ndefu sana ili kufikia malengo yetu wa kimaisha. Kama hauna PESA ENDELEVU achana na mapenzi. MAPENZI KIDOGO MIZINGA MINGI.
Women don't love us men, they just love the money we have that can support the lifestyle they crave forHabari wana JamiiForums
Nimekaa na kufikiria sanaaaa. 100% Mapenzi ni biashara, kila penzi unalogusa linataka pesa, kila ukijaribu upate wa kuishi naye milele usipokuwa na kipato endelevu wanakimbia. Hii ina maana gani?
Hii ina maana Wanawake hawaingii kwenye mahusiano na wewe kwa upendo wa dhati, wanaingia kwenye mahusiano wakitegemea uwepo wa chochote kitu. Pesa ikipungua penzi linanyauka.
Tuna safari ndefu sana ili kufikia malengo yetu wa kimaisha. Kama hauna PESA ENDELEVU achana na mapenzi. MAPENZI KIDOGO MIZINGA MINGI.
Kaombwa 70k ya kusuka🤣🤣🤣🤣Tayari huko,haya nini kimekukuta
Watu wengi hufikiri mapenzi ni pesa. Nenda huko vijijini watu wanaoana hawana hata hela na wana watoto. Kuna wanandoa wanaunga unga maisha lkn wanaishi kwa upendo.Habari wana JamiiForums
Nimekaa na kufikiria sanaaaa. 100% Mapenzi ni biashara, kila penzi unalogusa linataka pesa, kila ukijaribu upate wa kuishi naye milele usipokuwa na kipato endelevu wanakimbia. Hii ina maana gani?
Hii ina maana Wanawake hawaingii kwenye mahusiano na wewe kwa upendo wa dhati, wanaingia kwenye mahusiano wakitegemea uwepo wa chochote kitu. Pesa ikipungua penzi linanyauka.
Tuna safari ndefu sana ili kufikia malengo yetu wa kimaisha. Kama hauna PESA ENDELEVU achana na mapenzi. MAPENZI KIDOGO MIZINGA MINGI.
UnajidanganyaHujapata mtu sahihi, ukimpata pesa kwake haitakua kipaumbele sana japo atazihitaji.