Mundele Makusu
JF-Expert Member
- Sep 28, 2021
- 2,488
- 3,481
Unaishi kijijini wwWatu wengi hufikiri mapenzi ni pesa. Nenda huko vijijini watu wanaoana hawana hata hela na wana watoto. Kuna wanandoa wanaunga unga maisha lkn wanaishi kwa upendo.
Unaweza kuwa na hela na bado ukaachwa
Utakuwa unalenga pisi ambazo sio level zako mkuuHabari wana JamiiForums
Nimekaa na kufikiria sanaaaa. 100% Mapenzi ni biashara, kila penzi unalogusa linataka pesa, kila ukijaribu upate wa kuishi naye milele usipokuwa na kipato endelevu wanakimbia. Hii ina maana gani?
Hii ina maana Wanawake hawaingii kwenye mahusiano na wewe kwa upendo wa dhati, wanaingia kwenye mahusiano wakitegemea uwepo wa chochote kitu. Pesa ikipungua penzi linanyauka.
Tuna safari ndefu sana ili kufikia malengo yetu wa kimaisha. Kama hauna PESA ENDELEVU achana na mapenzi. MAPENZI KIDOGO MIZINGA MINGI.
..hata ndoa za sasa ni ajira kwa wanawake, kama ukitetereka kiuchumi ndyo utaona true colour ya wifeHabari wana JamiiForums
Nimekaa na kufikiria sanaaaa. 100% Mapenzi ni biashara, kila penzi unalogusa linataka pesa, kila ukijaribu upate wa kuishi naye milele usipokuwa na kipato endelevu wanakimbia. Hii ina maana gani?
Hii ina maana Wanawake hawaingii kwenye mahusiano na wewe kwa upendo wa dhati, wanaingia kwenye mahusiano wakitegemea uwepo wa chochote kitu. Pesa ikipungua penzi linanyauka.
Tuna safari ndefu sana ili kufikia malengo yetu wa kimaisha. Kama hauna PESA ENDELEVU achana na mapenzi. MAPENZI KIDOGO MIZINGA MINGI.
Kuna watu kama ww waliamini mapenzi ni pesa.Unaishi kijijini ww
Kuna wanawake wa kuishi kwenye raha tu na wanawake wa kuishi kwenye shida na raha...hata ndoa za sasa ni ajira kwa wanawake, kama ukitetereka kiuchumi ndyo utaona true colour ya wife
Mbona makasiriko,nimekuuliza unaishi Kijijini ww mkuu?,Jibu alafu twende na hojaKuna watu kama ww waliamini mapenzi ni pesa.
Wakawasomesha wapenzi wao, kuwajengea nyumba na kuwanunulia magari wanawake wakifikiri watapendwa sana. Nyie ndiyo wale, mwanamke anakutafuta akiwa na shida ya pesa, ukimpa hakutafuti. Siku akiwa na shida anakutafuta sana. Endelea kutafuta pesa ili kuwafurahisha wanawake
Kuamini mapenzi ni pesa ni kuwa na uwezo mdogo sana wa kufikiria
Kuishi kijijini ni sehemu ya Tanzania.Mbona makasiriko,nimekuuliza unaishi Kijijini ww mkuu?,Jibu alafu twende na hoja
Haya umeyajua leo? Weee umetoka wapi na imani yako hiko wapi? Kwa mkristo mme atakula na kuishi kwa jasho! Lazima ufanyekazi! Mwanamke ni kuzaa na kutunza nyumba na ni mlinzi wa mume na mali zake! Sasa huna hela unaanzaje kuwaza kumiliki mmke?Habari wana JamiiForums
Nimekaa na kufikiria sanaaaa. 100% Mapenzi ni biashara, kila penzi unalogusa linataka pesa, kila ukijaribu upate wa kuishi naye milele usipokuwa na kipato endelevu wanakimbia. Hii ina maana gani?
Hii ina maana Wanawake hawaingii kwenye mahusiano na wewe kwa upendo wa dhati, wanaingia kwenye mahusiano wakitegemea uwepo wa chochote kitu. Pesa ikipungua penzi linanyauka.
Tuna safari ndefu sana ili kufikia malengo yetu wa kimaisha. Kama hauna PESA ENDELEVU achana na mapenzi. MAPENZI KIDOGO MIZINGA MINGI.
Sasa tukiona sayari itatusaidia nini kiuchumi?Habari wana JamiiForums
Nimekaa na kufikiria sanaaaa. 100% Mapenzi ni biashara, kila penzi unalogusa linataka pesa, kila ukijaribu upate wa kuishi naye milele usipokuwa na kipato endelevu wanakimbia. Hii ina maana gani?
Hii ina maana Wanawake hawaingii kwenye mahusiano na wewe kwa upendo wa dhati, wanaingia kwenye mahusiano wakitegemea uwepo wa chochote kitu. Pesa ikipungua penzi linanyauka.
Tuna safari ndefu sana ili kufikia malengo yetu wa kimaisha. Kama hauna PESA ENDELEVU achana na mapenzi. MAPENZI KIDOGO MIZINGA MINGI.
Sawa Ngoja nikae kimyah mm ...Maana mwijaku alikuwa Hana pesa kihivo ila mkewe aliishi nae hivo hivo Leo ni next level....mawazo yako ni yako Baki nayo tuKuishi kijijini ni sehemu ya Tanzania.
Endelea kutafuta pesa ili kuwafurahisha wanawake wakupende
Show kaliHabari wana JamiiForums