Multaza Hr
Member
- Jan 10, 2025
- 83
- 182
Hili watu wengi hawafahamu, is why waliofanikiwa wengi huwa hawasemi siri zao. Wataishi kukwambia nilianza chiniSure, watu wengine huomba kazi mahali wakakosa, kumbe mwenye biashara lazima aangalie king'amuzi kwanza kabla ya kukuajiri
Loh afadhali mpo wa kuwatiq watu mioyo maana hawa washirikina wanawatisha sana watu ili waanze kuwapiga watu helaHuu ujinga utausikia nchi maskini tu.
Chunguza tu aina ya watu wanaopiga hizi stories ndio utagundua ni waaina ganiLoh afadhali mpo wa kuwatiq watu mioyo maana hawa washirikina wanawatisha sana watu ili waanze kuwapiga watu hela