Kama haupo vizuri kiroho ni ngumu ku-run biashara kubwa

Kama haupo vizuri kiroho ni ngumu ku-run biashara kubwa

Mkuu sikia.....
Hapa Marekani makampuni makubwa mengi yameajiri mtu maalum kwa ajili ya kuangalia hali ya kiroho ya kampuni na jukumu lake kubwa ni kuiombea kampuni..
wenyewe wanasema spiritual well being and promote a positive work environment. kama sikosei wanaitwa Corporate chaplains ....masuala ya kiroho na ushauri hawa watu wanamuomba Mungu usifanye mchezo......wakiamini inaongeza uzalishaji/faida...pia better work life balance to navigate personal na proffessinal challenges...hii ni mpaka mahospitalini kuna dogo hapa jirani alikwenda kufanyiwa operation ya moyo..madaktari bingwa wakapiga magoti na kuanza kuomba kwa jina la YESU..
Amini kwamba.
Hata serikali ya marekani ina kitengo maalum chini ya CIA kazi yao kufanya "remote viewing" , jamaa wanaona matukio ya mbele yote, na inasemekana hawa ndio wanatabiri matukio yote makubwa ikiwemo maafa na majanga mbalimbali. Na wanatoa mafunzo kabisa ya hii kazi
 
Kuna roho za mizimu, majini is vibwengo, Roho Mtakatifu nk..

Je ni roho ipi ?
Kupanga ni kuchagua.
Mtu anaweza kufanikiwa kupitia roho za giza au kupitia roho njema. Na kila upande una gharama zake upande wa giza utatoa makafara na kufuata masharti yao ila upande wa Mungu unatakiwa utoe sadaka na uachane na dhambi.
 
Mkuu sikia.....
Hapa Marekani makampuni makubwa mengi yameajiri mtu maalum kwa ajili ya kuangalia hali ya kiroho ya kampuni na jukumu lake kubwa ni kuiombea kampuni..
wenyewe wanasema spiritual well being and promote a positive work environment. kama sikosei wanaitwa Corporate chaplains ....masuala ya kiroho na ushauri hawa watu wanamuomba Mungu usifanye mchezo......wakiamini inaongeza uzalishaji/faida...pia better work life balance to navigate personal na proffessinal challenges...hii ni mpaka mahospitalini kuna dogo hapa jirani alikwenda kufanyiwa operation ya moyo..madaktari bingwa wakapiga magoti na kuanza kuomba kwa jina la YESU..
Amini kwamba.
Mkuu umesema vyema kuna mtu alishawahi kusema, hata kwenye izi kampuni kubwa mtu anapoenda kuajiriwa, Miiko ya kampuni na Desturi zinamtambua Mtu uyo ni Nani?!

Na maamuzi kufanywa?! Kila kitu lipo spiritually ni vyema kutengeneza kiroho zaidi na Yote yanawezeshwa.
 
Soma kitabu cha bill gate embodiment of the digital error ndio utaelewa kuhusu hizo habari za kuamini kufanikiwa sijui kiroho alizizungumziaje.
 
Hata serikali ya marekani ina kitengo maalum chini ya CIA kazi yao kufanya "remote viewing" , jamaa wanaona matukio ya mbele yote, na inasemekana hawa ndio wanatabiri matukio yote makubwa ikiwemo maafa na majanga mbalimbali. Na wanatoa mafunzo kabisa ya hii kazi
Kama tukio gani la mbele walilowahi kuliona? Mbona hawakuona september 11 au huu moto uiowaka juzi LA. Tupunguze kuamini kila stori za vijiweni
 
. Biashara ni Vita mkuu...

. Kila mtu unayemuona huko nje anatafufa hela, hapo ndo pakujiuliza hizo hela zipo na nani???
maswali ya watu wa HKL
Screenshot_20250217-212312.jpg
 
Wakuu ulimwengu wa biashara upo kiroho zaidi

Ukiachana na kuwa smart kichwani Ila inabidi uwe vizuri kiroho.

Nimefanya biashara kubwa nimejionea hili swala.

Don't hustle in vain nigga

Pray pray pray.
Wachungaji wetu wanatuambia pray pray pray, ila wao wanakusanya sadaka zetu ndio hizo wanakula. Mbona wao wasi pray pray pray wakapata kila kitu?

Nyie matajiri acheni kutuongopea sisi tu pray wakati nyie mnaendelea kupiga hela kwa njia mnazozijua. Sisi tuna pray miaka nenda rudi ndio kwaanza umasikini unatuandama 😐
 
Kama tukio gani la mbele walilowahi kuliona? Mbona hawakuona september 11 au huu moto uiowaka juzi LA. Tupunguze kuamini kila stori za vijiweni
Unadhani kila mtu anakaa kijiweni kama wewe? Sina muda wa story za kijiweni naadika vitu nilivyo vifanyia research ya kutosha, unaweza ukajiona mjanja kwa maneno ya hovyo kumbe fala tu 😆😆😆au unadhani wengine hatujui maneno ya shombo.
Haya soma link from Columbia University uone jinsi USA na Soviet Union zilikuwa zinachunguzana kupitia remote viewing. No research no right to speak🚮🚮

Attachments

  • Screenshot_20250217-215225.jpg
    Screenshot_20250217-215225.jpg
    368 KB · Views: 3
Kama tukio gani la mbele walilowahi kuliona? Mbona hawakuona september 11 au huu moto uiowaka juzi LA. Tupunguze kuamini kila stori za vijiweni
Wameona nini hawajaona nini it is not my business, articles are everywhere about USA psychic practices, huamini acha, hujalazimishwa
 
Attachments

Duh nilipita kwenye duka moja dogo la mahitaji ya nyumbani nikamkuta mwenye duka ananyunyizia maji kwa kurushia na mkono mithili ambayo sio ya nia ya kufanya usafi nkashtuka kidogo.Nikanunua kilichonipeleka ila design kama alishtuka alikua hajajua kuna mtu atatokea labda maana alikuwa amegeuka upande mwingine.Nkasema kweli labda ni vita hizi hadi kwenye vibanda basi shughuli tunayo🤣
 
Back
Top Bottom