Kama haupo vizuri kiroho ni ngumu ku-run biashara kubwa

Kama haupo vizuri kiroho ni ngumu ku-run biashara kubwa

Mimi sitaki kuamini nataka kujua.

Kuamini Mungu na kuamini uchawi vyote ni kuamini supernatural powers.

Mimi sikubali kuamini supernatural powers.

Sababu hiyo hiyo inayonifanya nisimuamini Mungu, ndiyo inanifanya nisiamini uchawi.

Umeelewa?
Sababu ya kutoamini Mungu kwako ni sababu ya upendo wote je uchawi una upendo wote au , kwanini sababu ya kutoamini Mungu iwe hiyo hiyo ya kutoamini uchawi
 
Sababu ya kutoamini Mungu kwako ni sababu ya upendo wote je uchawi una upendo wote au , kwanini sababu ya kutoamini Mungu iwe hiyo hiyo ya kutoamini uchawi
Hujaielewa sababu yangu ya kutoamini Mungu.

Sababu ni logical consistency, lack of logical consistency, si upendo wote.

Kuamini Mungu na kuamini uchawi vyote ni kuamini dunia ya miujiza (supernatural phenomena). Mimi sitaki kuamini miujiza. Kuamini Nungu na kuamini uchawi vyote ni sawa tu kwa sababu vyote ni kuamini miujuza.

Huelewi wapi?
 
Kweli kabisa Ulimwengu wa Roho ndo huwa unaamua hatma ya ulimwengu wa kimwili , ni muhimu kusimama kweli kweli na Mungu katika hustle zozote za kimaisha na kibiashara
Wakuu ulimwengu wa biashara upo kiroho zaidi

Ukiachana na kuwa smart kichwani Ila inabidi uwe vizuri kiroho.

Nimefanya biashara kubwa nimejionea hili swala.

Don't hustle in vain nigga

Pray pray pray.
 
Hujaielewa sababu yangu ya kutoamini Mungu.

Sababu ni logical consistency, lack of logical consistency, si upendo wote.

Kuamini Mungu na kuamini uchawi vyote ni kuamini dunia ya miujiza (supernatural phenomena). Mimi sitaki kuamini miujiza. Kuamini Nungu na kuamini uchawi vyote ni sawa tu kwa sababu vyote ni kuamini miujuza.

Huelewi wapi?
Akikujibu nitag
 
Ukiwaza kwanini tunaishi hapa duniani,utaanza kuamini kwamba kuna nguvu fulani iliyo tuweka hapa duniani.

Na tupo hapa duniani ili kuifurahisha na kufuata masharti ya hiyo supernatural power.

Mungu amemuumba mwanadamu na kumpa sheria zake ili azifuate.Ni kama binadamu anavyofurahia kuona robot akifuata instructions alizomuwekea kwenye mfumo wake.
 
Mkuu sikia.....
Hapa Marekani makampuni makubwa mengi yameajiri mtu maalum kwa ajili ya kuangalia hali ya kiroho ya kampuni na jukumu lake kubwa ni kuiombea kampuni..
wenyewe wanasema spiritual well being and promote a positive work environment. kama sikosei wanaitwa Corporate chaplains ....masuala ya kiroho na ushauri hawa watu wanamuomba Mungu usifanye mchezo......wakiamini inaongeza uzalishaji/faida...pia better work life balance to navigate personal na proffessinal challenges...hii ni mpaka mahospitalini kuna dogo hapa jirani alikwenda kufanyiwa operation ya moyo..madaktari bingwa wakapiga magoti na kuanza kuomba kwa jina la YESU..
Amini kwamba.
Unasikiliza sana mziki wa SINGELI mkuu.

Amini kwamba
 
Kwamba kuamini kuna uhusiano gani na mafanikio? Vip ambao hawaamini ila wamefanikiwa pia ?
Hamna asiyeamin aliyewahi kufanikiwa, wewe bado mdogo!!!!

Ni lazima iwe na vitu vya spiritual unavyoviamini, na hiii ni Siri ya Kila mafanikio.

Sio biashara TU, hata kudumu na cheo.

Hiyo nguvu ya Spiritual yaweza kuwa ya YESU au Kishetani
 
Back
Top Bottom