LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Huyu dogo ni Graduate wa Chuo Kikuu. Ndoto zake siku zote imekuwa ni kufanya kazi Usalama wa TAIFA.
Jana walikuwa kwenye msiba mtaani Mimi nilikuwa nje ya mji. Dogo anasema mahali walipo kuwa wamekaa Kuna Jamaa mmoja aliniponda Sana Mimi. Kwamba naringa Sana. Najisikia Sana kwa sababu nna vihela hela vigari na kinyumba. Nabagua misiba ya kuhudhuria etc.
Huyu dogo ni mgeni huku kitaa so hakuweza kujua jina la huyo MSENGENYAJI kwa sababu jina lake halikuweza kufahamika Mara moja.
Wasengenyaji wa mtaani kwetu wote nawafahamu so nilitaka kujua description za msengenyaji huyo ili nijue ni nani huyo but dogo huyu hakuweza kutoa description za msengenyaji huyo.
Mimi : Huyo Jamaa yupoje yupoje? UNAWEZA kumuelezea kidogo?
Dogo: Yupo kawaida Tu Kaka nashindwa hata nimuelezee vipi.
SWALI LA PILI NDIO KWENYE CONTENT YA UZI WANGU.
Nikataka kujua umri wa msengenyaji huyo. Kupitia umri wa msengenyaji huyo ningeweza kumtambua.
Mimi : Kwa kumuangalia Jamaa anaweza kuwa na umri gani ?
Dogo: haaa Kaka Sasa ntajuaje umri wa mtu Kaka kwa kumuangalia Tu ? SWALI gumu Sana Kaka .
..like serious? A graduate? Mwenye ndoto za kuwa Intelligence Officer huwezi kukisia umri wa mtu kwa kumtazama tu?
Hata kwa kukisia Tu kwa kutaja range kwamba kwa kumuangalia mtu huyo anaweza kuwa na umri Kati ya miaka 30 Hadi 35 ?
Kama hauwezi kujibu swali rahisi Kama hili basi wewe huna sifa ya kufanya Kama Intelligence Officer ?
Hutazami hata movie za mbele? Mtu kavamia benki Intelligence Officer wanawauliza Tellers kutoa descriptions za jambazi by the time Tellers wanamaliza kutoa maelezo jamaa tayari wamesha chora picha ya huyo jambazi . Hii ndio maana ya kuwa Intelligence Officer.
Lazima uwe sharp.
Wewe Bwana mdogo una ndoto za kuwa Intelligence Officer mtu anakuuliza unaishi wapi? Sinza.
Hivi Sinza maana yake nini ? Haa ni jina Tu ? Like seriously ???
Kuna vitu vya msingi ambavyo lazima uwe una vifahamu. Umri wa mtu hata kwa kumtazama tu.
UNAWEZA kujua hata kabila la mtu kwa kumuangalia Tu jinsi anavyo tembea hususani kwa watu wanao toka kwenye makabila maarufu Kama wahaya, wasukuma, wachaga etc.
Sasa Kama hauwezi kujua umri wa mtu kwa kumtazama ungewekwa kwenye mission ya King Herode kuua watoto wote wenye umri Kati ya miaka sifuri Hadi 3 si ungefeli wewe? Unge timiza vipi mission Kama hauwezi kujua umri wa mtu kwa kumtazama.