Kama hauwezi kulipia VPN Tumia TOR circuit bure kama mbadala

Kwenye android tunafanyaje mkuu

1)Go to Settings>>Wireless and Network and wireless>VPN and then Tap add VPN profile
2)New VPN profile will appear with the following blank fields
a)Name field "Put vpn"
b)Type "Select L2TP/IPSecPSK
c)Server adress "write 219.100.37.144 "
d)IP Sec pre-shared key "write VPN"
e)Fowarding routes "write 0.0.0.0/0
3)Connect to VPN will appear with the following empty fields
a)Username "write vpn"
b)Password "Put vpn"

Then you will connect to new vpn profile where a [emoji1006] symbol will appear on top of your phone window after succesfully connecting to VPN
 
It works!! Oi nitumie namba yako ya m pesa
 
Je ni lazima uwe umepakua VPN au hapana?
 
Mkuu hiyo inbuilt VPN ina speed ya kutosha kulinganisha na hizi za kupakua?

Iko vizuri tu mkuu,ndio nayotumia kwenye simu yangu hapa.Na ni bure pia tofauti na hizo za kupakua ambazo baadhi zina free trial then baada ya hapo ulipie,hivo inakulazimu upakue nyingi nyingi [emoji23][emoji23]
 
Vipi hiyo Orbot Toy haitumii bundle kukuunganisha na page unayotaka kuperuz
 
THANKS
 

ww na mm akili ziko sawa since #2017 nikogo na TOR + 911re proxies
 
You said it all!¡
 
mie inagoma au nakosea username na passwd?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…