Kama hauwezi kulipia VPN Tumia TOR circuit bure kama mbadala

Kama hauwezi kulipia VPN Tumia TOR circuit bure kama mbadala

Hili swali nimeuliza sana humu na sijapewa majibu.. je! Unapowasha VPN na kutumia namna mbs zako zinavyotumika ni tofauti na kutumia internet ya kawaida? Au hakuna utofauti?? Na kama hakuna utofauti kuna haja gani watumiaji wa VPN kuzima VPN Na kurudi katika internet ya kawaida?
 
Nami nipo pamoja na ww nataka kujifunza na kufahamu wajuzi njooni mtupe darasa bila ada[emoji122][emoji122]
 
Flash(SanDisk) yangu imeingia maji nifanye nini iweze kufanya kazi tena maana haisomi kwny device yangu.
 
Hili swali nimeuliza sana humu na sijapewa majibu.. je! Unapowasha VPN na kutumia namna mbs zako zinavyotumika ni tofauti na kutumia internet ya kawaida? Au hakuna utofauti?? Na kama hakuna utofauti kuna haja gani watumiaji wa VPN kuzima VPN Na kurudi katika internet ya kawaida?
Nishajibu hili swali kwa kirefu tu. Angalia page ya kwanza kabisa ya hii thread utakuta discussion khs hio kitu
 
Nataka nijiunge na hii VPN, So inapiga kazi bado?
 
Hivi inawezekana kutumia Vpn bila bando na kuweza kuingia kwenye mindao ya kijamii?
Ndio mkuu unaweza. Na ndio lengo LA kutumia VPN 1. USIRI 2. KAMSEREREKO.

MFANO droidvpn ni bure ila siku unapojiunga lazima uwe na bando hats LA hero kujiungia.
 
1.nenda setting
2.then general
3.then vpn
4.then click add vpn configuration
5.then after kwenye type unachagua ya mwisho L2TP
5.then kwenye description andika vpn
6.then kwenye server write this code 219.100.37.180
7.kwenye account write vpn
8.password again andika vpn
9.kwenye secret again andika vpn
10.after filling all this unabonyeza done kwajuu
11.itakuja status unabonyeza on
Note:Make sure your mobile data is on na una kifurushi
mimi yangu ina vitu vifuatavyo;
1/ edit vpn
2/ type hapo kuna IKEv2/IPSec MSCHAPv2,IKEv2/IPSec PSK,IKEv2/IPSecRSA.IKEv2/IPSec EAP-TLS
3/ server address
4/ IPSec identifier
5/ IPsec pre-shared key
:show advanced options
a/ DNS search domains
B/ DNS servers(eg 8.8.8.8)
c/ Forwarding routes(eg 10.0.0.0/8)
d/ proxy
None
always on vpn
delete---cancel----save
so nifanyeje naomba msaada
 
Back
Top Bottom