Kama hauwezi kulipia VPN Tumia TOR circuit bure kama mbadala

connecting unsuccessful
 
Mbona mimi VPN natumia Bure?
 
Kwangu baada ya server address kuna field L2TP secret, halafu IPsec identifier nijaze nn kwenye hizo field??

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo field zote mbili ziache kama zilivyo yaani usijaze kitu chochote, nenda moja kwa moja kwenye field yenye neno pre-shared ndo ujaze neno vpn. Halafu isave. Kisha i-click kwa ajili ya kui-connect, zitajitokeza fiels mbili zote utajaza neno vpn. Halafu weka tick kwa ajili ya kusave account informations halafu click connect, and you are done
 
Thanx let me try it, will revert

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umetutafunia vizuri sana.

Hebu weka tonge la mwisho tutafune wenyewe. Tuwekee link ya kudownload maana play store siku hizi adimu kuconect
 
Nimejaribu hiyo orbot haifanyi kazi
Nimerudi kwenye VPN
 
Nielekeze mkuu tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
Download orbot apk hapa



Kisha install kwenye simu yako, usisahau kuruhusu "Installing from unknown resources"


Kisha fungua na fuata maelekezo, utaulizwa kama unataka kuchagua apps kadhaa zitumie tor, so chagua mfano whatsapp na browser, then ukimaliza maelekezo yao utaona picha kama hii hapo chini. Hio btn nlozungushia kama sio ya kijani inabidi ubonyeze iwe ya kijana(inamaanisha "Tor is running")




Hakikisha umetick sehemu ya vpn mode hapo chini.

Orbot ipo simple sana kutumia coz inajielezea
 
Na Je ukiwa nje na Tanzania ukarudi pia ukabadili line husika na ulikuwa ushafanya VPN Itakulazimu urudie tenaa...?
 
Kuna baadhi ya taarifa kuuzwa inanirahisishia..mfano nimezoea google vitu flani naingia youtube nakuta wameniwekea pale juu kabisa hiyo ni faida
 
Kuna baadhi ya taarifa kuuzwa inanirahisishia..mfano nimezoea google vitu flani naingia youtube nakuta wameniwekea pale juu kabisa hiyo ni faida
Hapo hazijauzwa mkuu. Ni google wanashare data zako kwenye products zao, google search ni ya google LLC same as youtube.

Anyway baniani mbaya kiatu chake dawa
 
Tunamuamini kigogo wewe mutaalamu wa CD burning tulia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…