Kama hawa wangetengeneza couple hapa JF, zingenoga sana

Si wengine tuna gundu hatutajwi kabisa yaani Kama hatupo sayari hii...mnajipigia mapande wenyewe washkaji, mtukumbuke na sisi wazee wa ruzi bolu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hapana katoka kabisa jf na id yake alimwambia mdogo wake aiunganishe na yake ziwe moja hataki kabisa mambo ya jf ila nimewaza tu kuhusu huyu mgeni ujue ila sio yeye mana hataki kabisa jf
Hee
Alipatwa na nini tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…