AmenUsiku mwema dada Yesu akulinde
Mwenzangu nimepatwaSakaya naona umedondokewa[emoji1][emoji1][emoji1]
Umeanza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan hata ungepangwa na jiwe ungekubali
Eeeh bhana, tuchati kidogo, si eti?
SawaDada huyu inatakiwa akuite wifi
Nalala mieEeeh bhana, tuchati kidogo, si eti?
Akutake nani na ujambawazi wako?Duu! Hakuna mdada wa kunitaka!
Tatizo mzurulaji sana,tunakutana siasani nashindwa kumwaga madiniSawa
Jitahidi basi
Ila usije ukawa umenikubali au nshakupitia kwa ID nyingine.Akutake nani na ujambawazi wako?
Hata humu anakuwaga Sana tuuTatizo mzurulaji sana,tunakutana siasani nashindwa kumwaga madini
Sijawahi kupitiwa na MTU humuIla usije ukawa umenikubali au nshakupitia kwa ID nyingine.
Sawa, Basi na mimi acha tu nilale, kesho basi, si tutaonana?(eti kuonana tena) si tutachati?Nalala mie
Ngoja nimlie mingo kuliko kuendelea kuumia moyo nimwage ya moyoni nafsi iwe huruHata humu anakuwaga Sana tuu
Usijali kabisaSawa, Basi na mimi acha tu nilale, kesho basi, si tutaonana?(eti kuonana tena) si tutachati?
[emoji23] [emoji23] mkuu unatuonea sisi tunafuata kilichoandikwa hapoYeah, ya nini kuumia moyo ilihali muhusika yupo, bora kujilipua tu potelea mbali, kama ukipigwa chini sawa tu, lakini umejaribu. halafu wewe na@Khantwe tutakosana, mmekomaa Sakaya, Sakaya wakati mleta mada alikosea tu, mnaniharibia jina la mchumba wangu( ooh sorry, kumbe bado hajanikubalia kiuhakika)
Tena wewe Khantwe ndio umeanzisha, eti 'nambie Sakaya', Ukorofi tu umekujaa.[emoji23] [emoji23] mkuu unatuonea sisi tunafuata kilichoandikwa hapo
[emoji125] [emoji125] basi nisamehe bwana shemejiTena wewe Khantwe ndio umeanzisha, eti 'nambie Sakaya', Ukorofi tu umekujaa.
Apology accepted.[emoji125] [emoji125] basi nisamehe bwana shemeji