Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Unakubaliana na huu uteuzi tuanze kutafuta watoto?[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji7] [emoji7] [emoji7] nipo hapa love
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakubaliana na huu uteuzi tuanze kutafuta watoto?[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji7] [emoji7] [emoji7] nipo hapa love
Nakata rufaa aki, sitaki homa ya ini mie!!Hahahaa ndo umeshapewa sasa upambane na hali yako
Kwani uongo? Ila usijali mimi niko tayari hata kuwa mke wa pili
Ni makubaliano tuu, kwani utambaka jamanii!!!!Sio kila mtu anaruhusu kuliwa chake ujue
[emoji41] [emoji41] bas sawa nilikuwa napima tu nione kama ana mwingineNi makubaliano tuu, kwani utambaka jamanii!!!!
Jose hajaoa labda akubanie tuu
nipo tayari dear saa yoyote ni wewe tuUnakubaliana na huu uteuzi tuanze kutafuta watoto?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mmmh
sio kweli mimi sina mke...vipi Kaboom ulimuacha eeKwani uongo? Ila usijali mimi niko tayari hata kuwa mke wa pili
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hatariHaya mambo ya ID fake. Ufakuja kuunganisha IDs kumbe wote jinsia moja
Kabisa yaani, kumbe umeliona hilo eehNilijua labda ametajwa Sakayo kumbe Sakaya! ungeleta ugomvi hapa.
Haha [emoji23][emoji41] [emoji41] bas sawa nilikuwa napima tu nione kama ana mwingine
Vipi mpenzi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Muhimu bwana weeHaha [emoji23]
Kupima huko veepe