Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Mzazi hapo mbona utanipoteza aiseehMkuu basi mie utaniachia yule carbomazepine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzazi hapo mbona utanipoteza aiseehMkuu basi mie utaniachia yule carbomazepine
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mie ni live bhana ila nimekata rufaa
Ndugu angalia usimuite mtu Jakaya[emoji23] [emoji23] [emoji23] badala ya SakayoVipi Sakaya! [emoji1]
Mh! Wale siyo kuwa wanataniana kwenye nyuzi tu...? Couple yenu ingenoga mnoHivi kumbe ni mie???!! Halafu Kati ya wanaume woooote JF kaona anipe huyoo ako na mke kila uzi??? Wacha nikufwe na utamu wangu mie kuliko kuletewa homa ya ini
Yupi uyoMie niko na mume humu na mchepuko mmoja!!! Wananielewa
We unatamani nani awe couple yako BrazaAiseee
Ni sakayo mkuuNilijua labda ametajwa Sakayo kumbe Sakaya! ungeleta ugomvi hapa.
Wewe hujataja wako aisee[emoji23] [emoji23] [emoji23] hatari
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Mzazi hapo mbona utanipoteza aiseeh
Kwann SkyImebidi nicheke tu
eti nini??? unataka niweke picha hapa sasa hivi kuchafuke humu ndani...wew si ulkuaga Ex wangu [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] zile picha bado ninazoSijawahi kupitiwa na MTU humu
Kwann mkuuHivi nipo ndotoni au uhalisia maana ukisikia mbuzi kufia kwa muuza supu ndio leo.
Saaafi kabisa hii. Nimeipendaa
Mbona handsome tu na hela anayoYaani Nimechoka akili... Wanaume woooote kweeli kaona huyoo ndo anifaa????
Kuna ubaya gan Sakaya.. Mbona unalalama mnoKabisa kaona muosha naniliu ndo size yangu kweeli, aki nitamuombea ban
Endelea kukoleza mkuuHuyu ukhuty binti nimekolea kwake
HaahahAu ni mtu mmoja mwenye ID mbili.