Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
mimi ni noma....sio kila kitu lazima ujue..tena na album ipoMbona sikumbuki km tulipiga picha?! Ulinivizia ee...?!
We ni jipu asee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi ni noma....sio kila kitu lazima ujue..tena na album ipoMbona sikumbuki km tulipiga picha?! Ulinivizia ee...?!
We ni jipu asee
Mmmh!!Wacha nikufwe na utamu wangu mie!!! Sio muosha naniliu aise
[emoji23] [emoji23] yaani unamkana bwana shemela hivi hiviYaani wewe Umeanza uchochezi eeeh
Naogopa homa ya ini[emoji23] [emoji23] yaani unamkana bwana shemela hivi hivi
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] Ya kweli haya?Ubavu wa kuniacha hana..Hapo ndo utajua nini kilimpeleka Uwoya kwa Janjaro
Ukiwa naye faragha muulize atakwambia[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] Ya kweli haya?
Hahah sawa mkuuUkiwa naye faragha muulize atakwambia
RafikiDJ Sepetu ataniharibia dada angu, sitaki!!.....Mtu anachepuka na majimama huko halafu anakuja kutupia story nzima hapa ndo nini!![emoji53][emoji53][emoji53]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi kumbe ni mie???!! Halafu Kati ya wanaume woooote JF kaona anipe huyoo ako na mke kila uzi??? Wacha nikufwe na utamu wangu mie kuliko kuletewa homa ya ini
[emoji23] [emoji23]Babe usimsikilize huyo....alikuwaga Ex wangu akajaga kutoka na Daby... ana stress za usingo Maza
Kaa nae mbali kabisa
Acha kunibania bhana ndo nshapewa hata ndoa ya mkeka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nahisi ujue hivi kafikilia nini we mleta mada jaman mbona mchochezi hivi kwa dada angu
Njoo nikupe kinga...Naogopa homa ya ini
Naona sala yangu hatimae imejibiwaWakuu,
Kwa tunavyoishi hapa JF, tunavyo interact, ni hakika, mawazo na michango ya mtu yanahakisi tabia yake.
Kwa hakika hata mtu akikukurupusha usingizini akuambie kama unachagua mtu wa kutengeneza naye couple, lazima kuna mdau hapa jf anakuvutia na unaweza kumtaja japo humjui.
Pia unaweza ukasema hapa JF, fulani na fulani wangetengeneza couple wangependeza mno.
Kwa mfano mimi kuna watu naona wangekua couple ingenoga sana.
Khantwe na Joseverest
Sky Eclat na Kichwa Kichafu
Dj Sepetu na Sakayo
Na nyingine nyingi.
Kwangu mimi leo ukiniambia nichague wa kutengeneza nae couple, ningemchagua huyu mwana dada wa kuitwa Emmyta.
Ni akina nani wengine unaodhani wakitengeneza couple zitanoga?
Ww ukiambiwa uchague wa kutengeneza nae couple hapa JF utamchagua nani?
MmmhSakayo njoo kwangu naahidi kukupeleka Kigoma ukale migebuka
EeehNjoo nikupe kinga...
Rudi milembe ukamalizie dozi huyo ni sweetheart wanguMimi na KA peace
kwema kabisa mkuu habari yako!Mkuu kwema????