Kama hawa wangetengeneza couple hapa JF, zingenoga sana

Kama hawa wangetengeneza couple hapa JF, zingenoga sana

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nahisi ujue hivi kafikilia nini we mleta mada jaman mbona mchochezi hivi kwa dada angu
Acha kunibania bhana ndo nshapewa hata ndoa ya mkeka
Itafungwa tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wakuu,

Kwa tunavyoishi hapa JF, tunavyo interact, ni hakika, mawazo na michango ya mtu yanahakisi tabia yake.

Kwa hakika hata mtu akikukurupusha usingizini akuambie kama unachagua mtu wa kutengeneza naye couple, lazima kuna mdau hapa jf anakuvutia na unaweza kumtaja japo humjui.

Pia unaweza ukasema hapa JF, fulani na fulani wangetengeneza couple wangependeza mno.

Kwa mfano mimi kuna watu naona wangekua couple ingenoga sana.

Khantwe na Joseverest

Sky Eclat na Kichwa Kichafu

Dj Sepetu na Sakayo

Na nyingine nyingi.

Kwangu mimi leo ukiniambia nichague wa kutengeneza nae couple, ningemchagua huyu mwana dada wa kuitwa Emmyta.


Ni akina nani wengine unaodhani wakitengeneza couple zitanoga?

Ww ukiambiwa uchague wa kutengeneza nae couple hapa JF utamchagua nani?
Naona sala yangu hatimae imejibiwa
 
Back
Top Bottom