Kama haya matukio ya Makonda yangekuwa ni Movie, Je ingepewa jina Gani?

Mkuu ni kweli yaani hii skendo ingekuwa Hollywood lingetengenezwa bonge la "Drama Movie"

Lakini si unajua tena, ideas za bongo movie na ufikiri wetu sio wa kivile saana.
Na wakitunga hii movie basata watawafungia. Only in Tz.
 
Ni movie siyo utani ni movie kwl! ccm inacheza movie katika maisha yetu. Inajisafisha kwa kutukaba makoo yetu. Inatumia kila mbinu hata za umungu umtu!
 
Kwa mfano huu mlolongo wa matukio yanayomuhusu makonda yangekuwa ni movie. Wewe ungeipa Title gani?

Na je ingekuwa ni Action, Comedy, Horror, thriller, au Romance ?

Ingeitwa Koromije stupid Hero.
 
ingekua ni political thriller movie na ingeitwa "From Koromije with Love"
 
Kwa mfano huu mlolongo wa matukio yanayomuhusu makonda yangekuwa ni movie. Wewe ungeipa Title gani?

Na je ingekuwa ni Action, Comedy, Horror, thriller, au Romance ?
The Last Man standing
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…