Kama haya matukio ya Makonda yangekuwa ni Movie, Je ingepewa jina Gani?

Kama haya matukio ya Makonda yangekuwa ni Movie, Je ingepewa jina Gani?

Visa vya kolomije. . . .
Muhusika mkuu daud bashite. pamoja na the Bishop
 
Kwa mfano huu mlolongo wa matukio yanayomuhusu makonda yangekuwa ni movie. Wewe ungeipa Title gani?

Na je ingekuwa ni Action, Comedy, Horror, thriller, au Romance ?
ingekua movie ingeitwa 'stolen certificates'
 
Kwa mfano huu mlolongo wa matukio yanayomuhusu makonda yangekuwa ni movie. Wewe ungeipa Title gani?

Na je ingekuwa ni Action, Comedy, Horror, thriller, au Romance ?
movie: THE MAN FROM KOROMIJE
 
Return of the prodigal son from koromije.

king of koromije (Queen of katwe)
 
Basi anafaa kuchezeshwa sex scene na jambaz mkuu

Uwiii, Ray Boy...lol!

Lakini kwa kweli jamaa na wakubwa zake wamechemka kinoma, halafu imagine bado tu anaji vinjari.

Kuna mahali tena nimesema, alipotamka kuwa atafukuza watu "Mkoani Kwake" na wataondoka bila hata sandals ndo nilipomuona konyo kabisa na alivyo mtupu kichwani.
Kama vile huu mkoa aliujenga yeye na hakuchaguliwa, tena na wananchi. Kwa sababu huyo boss wake aliyemuweka hapo, amewekwa hapo na wananchi pia. Halafu leo akaseme ni mkoa wake.
 
You can hide but you can't escape

Safari ya Bashite
 
Back
Top Bottom