Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Na wakitunga hii movie basata watawafungia. Only in Tz.Mkuu ni kweli yaani hii skendo ingekuwa Hollywood lingetengenezwa bonge la "Drama Movie"
Lakini si unajua tena, ideas za bongo movie na ufikiri wetu sio wa kivile saana.