Kama haya ni ya kweli kuhusu NWO, basi hakuna aliye salama!

Kama haya ni ya kweli kuhusu NWO, basi hakuna aliye salama!

Fabian the Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2012
Posts
756
Reaction score
751
Katika pitapita zangu nimekutana na documentary moja inayoelezea mantiki nzima ya New Word Order NWO, Kuna mengi yameelezewa lakini haya machache yamenifanya niamini kama ni kweli basi hakuna aliye salama tena.

1. Inasemekana mpango wa NWO unataka dunia yenye watu wasiozidi 500,000,000 duniani. Dunia kwa sasa ina watu wanaokadiriwa kufika bilioni 6, ili kubakisha idadi hiyo ya watu inabidi watu 5.5 bilion waondoke duniani.

2. Inasemekana mpango wa kuwaondoa hao watu duniani umeshaanza. Na njia kubwa inayotumika ni kupitia vyakula tunavyokula, vita, na magonjwa kama vile UKIMWI, Malaria, chanjo za utotoni n.k

3. Kilichonishtua zaidi ni kuhusu hizo chanjo za utotoni, inasemekana katika chanjo hizo kuna chemical imewekwa ambayo inapunguza life expectancy ya mtoto na kupunguza IQ yake. Bahati mbaya taasisi ambazo ndo wanatengeneza na kuidhinisha dawa hizo wamezishikilia wao.

4. Vyakula asilimia 98% tunavyokula ni generic modified, yaani ni vyakula ambavyo mbegu zake zimetengenezwa viwandani na wakadhibitisha kwamba vinafaa kwa matumizi yetu. Yaan hata ule mchicha unaopanda hapo nje kwako sio organic tena, mahindi nk vyote viko modified kwa interest zao.

Ni dhahiri kwa mwendo na speed hii, baada ya karne chache zijazo hao jamaa watakuwa wanaimiliki dunia na vyote vilivyomo.
 
Mambo mengine yakusadikika ?
Haya mambo siyo yakusadikika mkuu.
Kama tu Hitler aliua zaidi ya Wayahudi milioni sita, Wahutu wameua Watutsi zaidi ya lakini nane na Stalin wa Urusi aliua Wayukreini zaidi ya milioni mbili.
Unategemea kuna kitu ambacho mwanadamu anashindwa kufanya???
Hakika hakuna jambo la kusadikika hapa duniani.
 
Back
Top Bottom