Pre GE2025 Kama Hayati Magufuli angekuwepo kukamilisha awamu ya pili ya Urais, CCM ingempendekeza Rais Samia kuwa mgombea 2025?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huko juu yoote ziga tu.
Lengo ni hapa "Akitekeleza hili kama alivyosema, atabarikiwa, Tanzania itabarikiwa"

Serikali yenye Dola kushindwa uchaguzi ni kutaka.

She is there up to 2030.
Atake asitake !
Hivyo ndivyo ilivyo !
Lakini pia kwa kuwakumbusha tu binadamu ambao kikawaida ni wasahaulifu kwamba hata kuiba kura nako ni dhulma tu kama dhulma nyinginezo !
Mungu kupitia dini zote amekataza dhulma !
Tafakari !
 
KUna mtanganyika amewahi kutawala zanzibari😅
 
Hata akikataa tutamlazimisha🥺🥺🥺
 
Mimi nasema hivi nje ya Msiba Tz hapakuwahi kuwa na wazo kuwa na Mwanamke Rais au makamo wa Rais kuliwahi kuwa na Tetesi Asha Rose Migiro na yule Mam alikuwa waziri wa Fedha kipenzi cha baba wa Taifa ila bwana lolote linawezekana wacha Mh Samia ashike nchi tukimaliza tutajikung'uta kama kuna vumbi... ila tujifunze kwa GERMAN NAPATA SHIDA KAMA MWANAMKE ATASHIKA KITI TENA GERMAN KWA KILE RUSSIA AMEWAFANYA PITIA ANGEL MAKEL
 
Wale waliyojaribu kumzuia samia asi take over baada ya kifo cha jpm waliona mbali. Ona sasa tunakabiliwa na mtu kutaka kujiweka uongozini bila kufuata hata katiba ya chama chake. Hapa sio tatizo la jinsia yake. Mwenyewe kiitikadi na uwezo anapwaya kua mwenyekiti wa ccm licha urais wa jamhuri. Bahati mbaya ya taifa kufiwa na kiongozi mahiri mzalendo na jasiri imeliweka taifa kwenye bahati mbaya, kwenye mikono ya mwanamke asiyekua na sifa wala nia ya kupeleka taifa kwenye njia sahihi.
 
Samia ni rais bora kuwahi kutokea Tanzania, ana sifa zote, ametimua hasa ila maadui wa kila aina kwa mfano
Jinsia, ukanda, ukabila, udini na uzanzibari wake unamponza,

Chonde chonde tumuenzi huyu au ohooo msije kusema sikuwaambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…