Kama hewa itatoka katika eneo lililo na uwazi, je ni kitu gani huzuia hewa isitoke nje ya uso wa dunia?

Bob Manson

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2021
Posts
4,158
Reaction score
7,787
Habari za jioni wadau....

Kama mnakumbuka nilileta mada kuhusu chanzo au asili ya Oxygen, Nashukuru wadau walinipa elimu nzuri kuhusu Oxygen na nikaelewa vyema.

Leo pia nina swali kuhusu Oxygen au hewa.

Kwa mujibu wa sayansi, asili ya hewa au mazingira yake ni lazima iwe katika eneo ambalo limefungwa, ndani yake kuwe na pressure na kizuizi ili hewa hiyo isitoke.

Kwa mujibu wa NASA, dunia haipo closed, viumbe na vitu vyote vipo nje ya uso wa dunia,dunia inaelea katika space ambayo ipo wazi pande zote na haina mwisho.

Je, inakuwaje mpaka duniani panakuwa na mgandamizo wa hewa wakati pande zote zipo wazi?

Screenshot_20231111-095048_1.jpg
 
Habari za jioni wadau....

Kama mnakumbuka nilileta mada kuhusu chanzo au asili ya Oxygen, Nashukuru wadau walinipa elimu nzuri kuhusu Oxygen na nikaelewa vyema.

Leo pia nina swali kuhusu Oxygen au hewa.

Kwa mujibu wa sayansi, asili ya hewa au mazingira yake ni lazima iwe katika eneo ambalo limefungwa, ndani yake kuwe na pressure na kizuizi ili hewa hiyo isitoke.

Kwa mujibu wa NASA, dunia haipo closed, viumbe na vitu vyote vipo nje ya uso wa dunia,dunia inaelea katika space ambayo ipo wazi pande zote na haina mwisho.

Je, inakuwaje mpaka duniani panakuwa na mgandamizo wa hewa ingali pande zote zipo wazi?

View attachment 3057848

Naomba wadau wa sayansi ya mazingira mnijuze kuhusu hili....
Acha kusumbua watu hapa mkuu,hutopata majibu ya kueleweka,Swali lako hilo liweke Kwa Lugha ya Kiingereza halafu uingie Google utapata majibu ya uhakika na Utaridhika
 
Google kote nimepita na bado sijaona hoja yenye mashiko, naamini hapa nitapata mawazo au maoni tofauti.
 
Habari za jioni wadau....

Kama mnakumbuka nilileta mada kuhusu chanzo au asili ya Oxygen, Nashukuru wadau walinipa elimu nzuri kuhusu Oxygen na nikaelewa vyema.

Leo pia nina swali kuhusu Oxygen au hewa.

Kwa mujibu wa sayansi, asili ya hewa au mazingira yake ni lazima iwe katika eneo ambalo limefungwa, ndani yake kuwe na pressure na kizuizi ili hewa hiyo isitoke.

Kwa mujibu wa NASA, dunia haipo closed, viumbe na vitu vyote vipo nje ya uso wa dunia,dunia inaelea katika space ambayo ipo wazi pande zote na haina mwisho.

Je, inakuwaje mpaka duniani panakuwa na mgandamizo wa hewa ingali pande zote zipo wazi?

View attachment 3057848

Naomba wadau wa sayansi ya mazingira mnijuze kuhusu hili....
Kila gas na density yake, ndomana kadri unavoenda juu kutoka usawa wa bahari kiasi cha oksjen kinapungua kwasababu oksjen ina density kubwa kwahyo inapatikana karibu na uso wa dunia
 
Acha kusumbua watu hapa mkuu,hutopata majibu ya kueleweka,Swali lako hilo liweke Kwa Lugha ya Kiingereza halafu uingie Google utapata majibu ya uhakika na Utaridhika
Kwahiyo mkuu wangu tuendelee na mada zetu tu za kila siku humu? Maana swali lake ni moja ya mada ambazo endapo zitajadiliwa yatapatikana mengi ya watu kujifunza.

Hivi tujadili kweli Ngedere au Bundi ni wa kuwa sababu ya kukosekana kwa umeme tena wenye 25KV?? Bora hii mada
 
Back
Top Bottom