Kama hewa itatoka katika eneo lililo na uwazi, je ni kitu gani huzuia hewa isitoke nje ya uso wa dunia?

Kama hewa itatoka katika eneo lililo na uwazi, je ni kitu gani huzuia hewa isitoke nje ya uso wa dunia?

Ndege ni physical object, hewa haionekani....

Ni kipi husababisha hewa ibaki ndani ya uso wa dunia na isifike juu?
Kwani kutoonekana maana yake kitu si physical object?

That is another logical non sequitur fallacy.

Nimekupa jibu la gravity, unasema gravity haipo.

Nimekuambia thibitisha gravity haipo.

Umeleta hoja ya logical non sequitur fallacy.

Hujajibu.
 
Kwahiyo mkuu wangu tuendelee na mada zetu tu za kila siku humu? Maana swali lake ni moja ya mada ambazo endapo zitajadiliwa yatapatikana mengi ya watu kujifunza.

Hivi tujadili kweli Ngedere au Bundi ni wa kuwa sababu ya kukosekana kwa umeme tena wenye 25KV?? Bora hii mada
Binafsi hii mada hainisaidii chochote katika maisha yangu ya kila siku mkuu,nyie endeleeni kuidadavua kama Ina msaada kwenu mkuu
 
Wewe inaonekana kama unatafuta jibu unalolitaka mwenyewe.

Unatafuta kuambiwa habari za mfuniko fulani ulio juu ambao kama umefunika sufuria hivi hewa isitoke ndiyo ukubali.
Na hilo ndilo jibu sahihi
 
Mkuu unataka kuiona gravity kama unavyo ona. Ukuta,
Au unavyoona mitungi ya gesi, unatamani dunia nayo ingekuwa kwenye mtungi wa gesi ili oksigen isoptee 😂
 
Mkuu unataka kuiona gravity kama unavyo ona. Ukuta,
Au unavyoona mitungi ya gesi, unatamani dunia nayo ingekuwa kwenye mtungi wa gesi ili oksigen isoptee 😂
Sio natamani, ila naamini kipo kizuizi
 
Binafsi hii mada hainisaidii chochote katika maisha yangu ya kila siku mkuu,nyie endeleeni kuidadavua kama Ina msaada kwenu mkuu
Bado sikupingi na upo sawa tuna mitazamo tofauti ila bora nijadili hili may be siku za usoni nikasaidia katika maelezo ya watoto kuliko kuniambia ngedere akacheze na transmission wire inayosafirisha 25KV asababishe electric train kusimama kwa two hours. Sijui tumeonekana vipi kiukweli.
 
Sipotezi muda, ila sote tunajifunza kwa kubadilishana mawazo
Mkuu maana yangu ni kwamba,mada yako imekaa kisayansi na kitafiti,humu ndani hakuna wanasayansi na watafiti wa kisayansi!

Humu wengi ni wapiga Zomari tu,ndo maana nikapendekeza ya kwamba,kama ulikuwa unahitaji majibu yatakayokufanya upate uelewa Moana utakaokusaidia katika maisha yako kutokana na swali lako,ni vema ungeenda Google ambako Kuna majibu yaliyokwisha kufanyiwa tafiti za Kisayansi na wanasayansi nguli wa Ulimwengu!

Tofauti na hapo uenda unahitaji hapa watu wajichangamshe tu lakini sidhani kama utapata majibu ya kueleweka tofauti na Google!
 
Maji yatoroka?
Kama hayatoroki ni nini kinafanya yasitoroke?

Ps: naulizia maji ambayo baadae yanakuwa mvua
Maji ambayo yanageuka kuwa mvua hayapo mbali kwa upande wa juu, yanaelea kama mawingu.
 
Maji yatoroka?
Kama hayatoroki ni nini kinafanya yasitoroke?

Ps: naulizia maji ambayo baadae yanakuwa mvua

Cosmology is mindbogglingly confusing. Be curious at your own brain 's cells risk.
 
Bado sikupingi na upo sawa tuna mitazamo tofauti ila bora nijadili hili may be siku za usoni nikasaidia katika maelezo ya watoto kuliko kuniambia ngedere akacheze na transmission wire inayosafirisha 25KV asababishe electric train kusimama kwa two hours. Sijui tumeonekana vipi kiukweli.
Kama Vijana inapaswa tujadili Kwa Uchungu hayo mambo ya Ngedere ili tujue namna ya kufanya ili kuwatokomeza Hawa Viruka njia wanaoiongoza hii serikali
 
Mkuu maana yangu ni kwamba,mada yako imekaa kisayansi na kitafiti,humu ndani hakuna wanasayansi na watafiti wa kisayansi!

Humu wengi ni wapiga Zomari tu,ndo maana nikapendekeza ya kwamba,kama ulikuwa unahitaji majibu yatakayokufanya upate uelewa Moana utakaokusaidia katika maisha yako kutokana na swali lako,ni vema ungeenda Google ambako Kuna majibu yaliyokwisha kufanyiwa tafiti za Kisayansi na wanasayansi nguli wa Ulimwengu!

Tofauti na hapo uenda unahitaji hapa watu wajichangamshe tu lakini sidhani kama utapata majibu ya kueleweka tofauti na Google!
Mkuu, mada hii nimeanza kuifanyia tafiti muda mrefu, kupitia website na vitabu mbalimbali...

Lengo la kuileta hapa ni kuona na kujua mitazamo ya watu wengine ambao wana maoni tofauti
 
Kila gas na density yake, ndomana kadri unavoenda juu kutoka usawa wa bahari kiasi cha oksjen kinapungua kwasababu oksjen ina density kubwa kwahyo inapatikana karibu na uso wa dunia
Baharini kunajulikana kijiografia kuwa ni bondeni. Sasa inawezekanaje kitu chenye ujazonene mkubwa, kama udaivyo, kisiwe huko bondeni?

You're clearly missing something important.
 
Nilijua tu.

Sasa kama una jibu lako sahihi tayari hapa unauliza ili iweje?
Bado nafanya tafiti, kuhusu huo mfuniko nayo ni tafiti mojawapo nafanya, bado sijapata uhakika ni njia au jibu lipi ni sahihi
 
Back
Top Bottom