Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Gravity ni nini, na inahusika vipi na hewa ya ndani au nje ya duniaGravity
Huo mgandamizo una kikomo? Maana nje kwenye space hakuna hewaMgandamizo ya nguvu ya uvutano ndio hufanya hewa kuvutwa kwenye uso wa. dunia
Acha kusumbua watu hapa mkuu,hutopata majibu ya kueleweka,Swali lako hilo liweke Kwa Lugha ya Kiingereza halafu uingie Google utapata majibu ya uhakika na UtaridhikaHabari za jioni wadau....
Kama mnakumbuka nilileta mada kuhusu chanzo au asili ya Oxygen, Nashukuru wadau walinipa elimu nzuri kuhusu Oxygen na nikaelewa vyema.
Leo pia nina swali kuhusu Oxygen au hewa.
Kwa mujibu wa sayansi, asili ya hewa au mazingira yake ni lazima iwe katika eneo ambalo limefungwa, ndani yake kuwe na pressure na kizuizi ili hewa hiyo isitoke.
Kwa mujibu wa NASA, dunia haipo closed, viumbe na vitu vyote vipo nje ya uso wa dunia,dunia inaelea katika space ambayo ipo wazi pande zote na haina mwisho.
Je, inakuwaje mpaka duniani panakuwa na mgandamizo wa hewa ingali pande zote zipo wazi?
View attachment 3057848
Naomba wadau wa sayansi ya mazingira mnijuze kuhusu hili....
Google kote nimepita na bado sijaona hoja yenye mashiko, naamini hapa nitapata mawazo au maoni tofauti.Acha kusumbua watu hapa mkuu,hutopata majibu ya kueleweka,Swali lako hilo liweke Kwa Lugha ya Kiingereza halafu uingie Google utapata majibu ya uhakika na Utaridhika
Mgandamizo wa hewa una kikomo kadiri unavyozidi kwenda juu, huu Mgandamizo huvuta hewa kurudi kwenye surface ya dunia juu zaidi inapotezea control yake.Huo mgandamizo una kikomo? Maana nje kwenye space hakuna hewa
Kama Google hakuna kile ambacho umekiuliza hapa,basi hapa unapoteza muda mkuu!Google kote nimepita na bado sijaona hoja yenye mashiko, naamini hapa nitapata mawazo au maoni tofauti.
Kila gas na density yake, ndomana kadri unavoenda juu kutoka usawa wa bahari kiasi cha oksjen kinapungua kwasababu oksjen ina density kubwa kwahyo inapatikana karibu na uso wa duniaHabari za jioni wadau....
Kama mnakumbuka nilileta mada kuhusu chanzo au asili ya Oxygen, Nashukuru wadau walinipa elimu nzuri kuhusu Oxygen na nikaelewa vyema.
Leo pia nina swali kuhusu Oxygen au hewa.
Kwa mujibu wa sayansi, asili ya hewa au mazingira yake ni lazima iwe katika eneo ambalo limefungwa, ndani yake kuwe na pressure na kizuizi ili hewa hiyo isitoke.
Kwa mujibu wa NASA, dunia haipo closed, viumbe na vitu vyote vipo nje ya uso wa dunia,dunia inaelea katika space ambayo ipo wazi pande zote na haina mwisho.
Je, inakuwaje mpaka duniani panakuwa na mgandamizo wa hewa ingali pande zote zipo wazi?
View attachment 3057848
Naomba wadau wa sayansi ya mazingira mnijuze kuhusu hili....
Lakini hapawezi kuwa na mgandamizo pasipokuwa na kingo au vizuiziMgandamizo wa hewa una kikomo kadiri unavyozidi kwenda juu, huu Mgandamizo huvuta hewa kurudi kwenye surface ya dunia juu zaidi inapotezea control yake.
Google kote nimepita na bado sijaona hoja yenye mashiko, naamini hapa nitapata mawazo au maoni tofauti.
Lakini sayansi inasema ni lazima gas iwepo katika eneo lililo fungwaKila gas na density yake, ndomana kadri unavoenda juu kutoka usawa wa bahari kiasi cha oksjen kinapungua kwasababu oksjen ina density kubwa kwahyo inapatikana karibu na uso wa dunia
Kwahiyo mkuu wangu tuendelee na mada zetu tu za kila siku humu? Maana swali lake ni moja ya mada ambazo endapo zitajadiliwa yatapatikana mengi ya watu kujifunza.Acha kusumbua watu hapa mkuu,hutopata majibu ya kueleweka,Swali lako hilo liweke Kwa Lugha ya Kiingereza halafu uingie Google utapata majibu ya uhakika na Utaridhika
Lakini sayansi inasema ni lazima gas iwepo katika eneo lililo fungwa
Ndyo nilikimbia physics, Google bado sijaona jibu la uhakikaUlikimbia physics? Ni kati ya basic concepts hii. Google haishindwi hili
Ukomo upo ndomana ukienda juu kuna sehem ni zero gravity means hapo hakuna kani ya mgandamizo kuelekea katika center ya duniaHuo mgandamizo una kikomo? Maana nje kwenye space hakuna hewa
Sipotezi muda, ila sote tunajifunza kwa kubadilishana mawazoKama Google hakuna kile ambacho umekiuliza hapa,basi hapa unapoteza muda mkuu!
So kwamba hakuna jibu la uhakika ni either haujaelewa majibu au umekosea jinsi ya kugoogleNdyo nilikimbia physics, Google bado sijaona jibu la uhakika