Copro mtego
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 619
- 796
Mm sijaongelea kurusha jiwe nilikuambia kuhusu centripetal na centrifugal force huelewi, circular motion na rotational Dynamics hujui, maana ake huwezi kuelewa hata iweje najua ushalishwa matango pori huko unakuwa na fixed mind so bora ubaki na myth zako maana ukielewa au usipoelewa hamna kitu kitakachobadilisha uhalisiaMaana ya Gravity ni mkusanyiko wa maneno tu, nataka uthibitishe uwepo wa hiyo Gravity kwa kunipa mifano hai na sio kusema ukirusha jiwe juu linarudi
Nilikuambia aache kuingilia taaluma za watu anakaza kichwa tu anahisi ku solve calculus ni kila mtu anaweza ee 😂😂Nyie watu wa arts mnasumbua kweli....so wewe unaona nimeuliza swali...
Ndugu ,ndege haielei yenyewe bali inatumia engine na mabawa kuzalisha force itakayo kinzana na Gravity....
Hata ndege kiumbe hutumika mabawa yake kuzalisha kinetic force ya kulingana na gravity....
Unadhani kwa nini ukirusha jiwe juu haliendelei kwenda daima, ila linarudi chini?Maana ya Gravity ni mkusanyiko wa maneno tu, nataka uthibitishe uwepo wa hiyo Gravity kwa kunipa mifano hai na sio kusema ukirusha jiwe juu linarudi
Point yako ni ipi katika hayo maelezo yote?Mm sijaongelea kurusha jiwe nilikuambia kuhusu centripetal na centrifugal force huelewi, circular motion na rotational Dynamics hujui, maana ake huwezi kuelewa hata iweje najua ushalishwa matango pori huko unakuwa na fixed mind so bora ubaki na myth zako maana ukielewa au usipoelewa hamna kitu kitakachobadilisha uhalisia
Jiwe haliwezi kubaki juu kwasababu lina uzito na hakuna kitu kinachoweza kulizuia lisirudi chini....Unadhani kwa nini ukirusha jiwe juu haliendelei kwenda daima, ila linarudi chini?
You're not serious. Umepewa jibu halisi, umeishia kulibeza.
Labda tuanzie hapa.Nikikaa barabarani lazima nitahisi navutwa endapo gari litapita karibu yangu, na hiyo ipo proved bila shaka.
Je, umeshawahi kuhisi au kuona namna ambavyo dunia inazunguka kwa kasi na kuvuta hewa upande wa globe?
Ni vipimo au namna gani hutumika kugundua na kushuhudia huo mzunguko na uvutwaji wa hewa? Nani aliwahi kuona hicho kitu?
Dunia haizungukiLabda tuanzie hapa.
Dunia inazunguka ama haizunguki?
Kama inazunguka, tambua kwamba inazalisha kani tovu (centripetal force) na kani pewa (centrifugal force).
Kani hizi ndizo pia zinahusika na ufyonzwaji wa hewa (suction effect) na vitu vingine ili viendelee kubaki kwenye ukanda wa dunia.
Kama unaelewa kwamba kitu chochote kilicho katika mwendo huvuta vingine ili kuvilazimisha viondoke nacho, si vigumu hata kidogo kuelewa jinsi dunia inavyoburuta na kuambaa na anga lake pamoja nayo.
Acha kusumbua watu hapa mkuu,hutopata majibu ya kueleweka,Swali lako hilo liweke Kwa Lugha ya Kiingereza halafu uingie Google utapata majibu ya uhakika na Utaridhika
Sawa kabisa. Usibadilishe chaneli. Baki hapa hapa.Jiwe haliwezi kubaki juu kwasababu lina uzito na hakuna kitu kinachoweza kulizuia lisirudi chini....
Ni sawa na urushe jiwe juu ya bati, litabaki huko kwakua limekutana na kizuizi
Hilo shimo linatobolewa kuanzia wapi mpaka wapi, unajua kwamba kwa mujibu wa hiyo sayansi, katikati ya dunia kuna kitu kinaitwa "inner core'?Fkiria tumefanikiwa kutoboa shimo fulani kwenye dunia hadi upande wa pili, ili kuruhusu jiwe hilo liendelee kuzama na kushuka chini kwa kuliondolea kizuizi chochote kinacholishikilia.
.
Point yangu achana na taaluma za watuPoint yako ni ipi katika hayo maelezo yote?
Taaluma za watu? Kwamba na wewe ni mmojawapo wa wamiliki wa taaluma hizo?Point yangu achana na taaluma za watu
Jiwe haliwezi kubaki juu kwasababu lina uzito na hakuna kitu kinachoweza kulizuia lisirudi chini....
Ni sawa na urushe jiwe juu ya bati, litabaki huko kwakua limekutana na kizuizi
We jifunze kuheshimu taaluma za watu usitake kuwa mjuaji kwenye kila kituTaaluma za watu? Kwamba na wewe ni mmojawapo wa wamiliki wa taaluma hizo?
Kama dunia ina tabaka kuu nne, tabaka ya kwanza kabisa iliyo chini ni ipi?Hapo Kuna hoja kuu Mbili
1. Gravitational force
Àmbayo NI force(kani au Ñguvu ) ya uvutano àmbayo chanzo chake NI Jua. Kani au Ñguvu inavyovisukuma Vitu katikati ya Dunia.
Dunia inatabaka kuu nne, Tabaka la Maji(Hydrosphere), tabaka la ardhi(Crust) hili hutambulika kama Biosphere, tabaka la hewa au anga(atmosphere)
2. Uzito (Density )
Uzito WA hewa unaongezeka kadiri unavyoliacha anga au uso wa Dunia
Sijaleta ujuaji, nimeuliza swali na watu wanatoa maoni yao, hata wewe pia nakushukuru kwa kuchangia maoni yako katika mada hii..We jifunze kuheshimu taaluma za watu usitake kuwa mjuaji kwenye kila kitu
Ungesema mapema basi. Maana mambo mengi yanayojadiliwa hapa hutegemea uhalisia huo.Dunia haizunguki
Vithibitisho gani hivyo? ni vipimo gani hutumika kupima au kuona mzunguko wa dunia?Kuna vithibitisho vingi kuhusu mzunguko wa dunia (revolution) na mzingio ama mviringiko wake (rotation).
Ww u aamini nnVithibitisho gani hivyo? ni vipimo gani hutumika kupima au kuona mzunguko wa dunia?