Copro mtego
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 619
- 796
Usiache kutuambia ukishapata majibuSawa mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiache kutuambia ukishapata majibuSawa mkuu
Sawa Mkuu, hapo umenipa mwanga kuhusu namna ya kuchukua vipimo vya kisayansi...Kachukue kipimo cha damu.
Huchukua kitone cha damu Kutoka kidoleni alafu watakuambia unaujazo WA damu lita 8-17. Bila Kukutoa damu yôte mwilini na kuipima.
Mfano wa 02.
Kwèñye Gesi au uchimbaji WA madini. Wataalamu wanapima alafu wanakuambia Eneo Hili Lina mafuta Kwa kiwango fulani.
Hiyo NI sayansi, wanatumia vipimo vya kisayansi kubaini hivyo
SawaUsiache kutuambia ukishapata majibu
Nitapima tu, bado wakati upoKuna siku utapimaga tu usijali
Umesema vyema katikati ya dunia kuna mvutano mkali.Sasa unawezaje kutoboa shimo na katikati ya ardhi kuna joto na mvutano mkali?
Hiyo ni kwa mujibu wa hiyo sayansi yenu, mimi nimesema kwa kurejea nadharia ambayo wewe unaiaminiUmesema vyema katikati ya dunia kuna mvutano mkali.
Kwa hiyo umeelewa kwa nini jiwe linarudi chini licha ya kutupwa juu?
Kwa mujibu wako, katikati ya ardhi kuna mvutano mkali.
Kwenye physics hatutumii neno physical objects tunatumia neno matter. Na zipo katika state tofauti na zote zina chukua nafasi na zina massNdege ni physical object, hewa haionekani....
Ni kipi husababisha hewa ibaki ndani ya uso wa dunia na isifike juu?
Sawa Mkuu, hapo umenipa mwanga kuhusu namna ya kuchukua vipimo vya kisayansi...
Lakini kupima inner core' pasipo kuifikia, sidhani kama inawezekana, labda zipo njia ambazo bado mimi na wewe hatujazifahamu
Nilikimbia umande, ila ukiona nabisha basi ujue sijaridhika na majibu
Sawa nitazidi kudadisi kwa njia nyingine zaidUlipaswa usome kipindi una fursa.ila hujachelewa siku hizi kuna vipindi vingi tu vya tv vya sayansi vinajibu maswali yote yanayosumbua udadisi wa mwanadamu. Wewe unasumbuliwa na udadisi wa kawaida kabisa ambao ni wa ngazi ya mtoto
Njia gani hutumika kupima inner core'?Kwèñye sayansi siô lazima ufike ndîo uchukue vipimo
Kûna njia nyingi huweza kutumika
Jiwe lipi litakuwa na kishindo kikubwa zaidi iwapo mojawapo likidondoshwa kwa kuachiliwa (siyo kusukumwa) kutoka kimo cha juu zaidi kuliko lingine, iwapo yanalingana uzito?Hiyo ni kwa mujibu wa hiyo sayansi yenu, mimi nimesema kwa kurejea nadharia ambayo wewe unaiamini
Hata katika uzi, nilitumia neno "kwa mujibu wa sayansi"
Njia gani hutumika kupima inner core'?
Sawa MkuuNgoja wataalamu waje? Sina Muda wa ku-google
Hayo mawe uliyoandika hapo yanayohusiana vipi na mada husika?Jiwe lipi litakuwa na kishindo kikubwa zaidi iwapo mojawapo likidondoshwa kwa kuachiliwa (siyo kusukumwa) kutoka kimo cha juu zaidi kuliko lingine, iwapo yanalingana uzito?
Kwa nini?
Ili kuelewa vyema mantiki hiyo, zingatia kwamba magari mawili barabarani yanayolingana uzito na kasi yatababisha kishindo kilekile kinacholingana iwapo yakigonga mahali fulani, licha ya kwamba yanatokea umbali unaotofautiana.
Kwa nini mawe hayo yanayoachiliwa kutoka juu kwenye kimo tofauti yatokee kuwa na kishindo tofauti?
Hewa nayo ni physical object. Ukitaka kupinga nako, ruksa.Ndege ni physical object, hewa haionekani....
Ni kipi husababisha hewa ibaki ndani ya uso wa dunia na isifike juu?
Atakuelewa kweli...???Mm sijaongelea kurusha jiwe nilikuambia kuhusu centripetal na centrifugal force huelewi, circular motion na rotational Dynamics hujui, maana ake huwezi kuelewa hata iweje najua ushalishwa matango pori huko unakuwa na fixed mind so bora ubaki na myth zako maana ukielewa au usipoelewa hamna kitu kitakachobadilisha uhalisia
Sasa kama unapinga majibu ya kisayansi, unataka majibu gani labda?Hiyo ni kwa mujibu wa hiyo sayansi yenu, mimi nimesema kwa kurejea nadharia ambayo wewe unaiamini
Hata katika uzi, nilitumia neno "kwa mujibu wa sayansi"
Najua wewe ni mgumu kuunganisha doti. Ngoja nikusaidie.Hayo mawe uliyoandika hapo yanayohusiana vipi na mada husika?
Ndio mkuu nmeona umenitagHahahaha nipp nafatilia comment nikishaona comment ya huyu jamaa Baba Swalehe hapo ndo taacha kusoma maana najua nishafika kwenye jibu sahihi