Kama hewa itatoka katika eneo lililo na uwazi, je ni kitu gani huzuia hewa isitoke nje ya uso wa dunia?

Kama hewa itatoka katika eneo lililo na uwazi, je ni kitu gani huzuia hewa isitoke nje ya uso wa dunia?

Kachukue kipimo cha damu.
Huchukua kitone cha damu Kutoka kidoleni alafu watakuambia unaujazo WA damu lita 8-17. Bila Kukutoa damu yôte mwilini na kuipima.

Mfano wa 02.
Kwèñye Gesi au uchimbaji WA madini. Wataalamu wanapima alafu wanakuambia Eneo Hili Lina mafuta Kwa kiwango fulani.

Hiyo NI sayansi, wanatumia vipimo vya kisayansi kubaini hivyo
Sawa Mkuu, hapo umenipa mwanga kuhusu namna ya kuchukua vipimo vya kisayansi...

Lakini kupima inner core' pasipo kuifikia, sidhani kama inawezekana, labda zipo njia ambazo bado mimi na wewe hatujazifahamu
 
Sasa unawezaje kutoboa shimo na katikati ya ardhi kuna joto na mvutano mkali?
Umesema vyema katikati ya dunia kuna mvutano mkali.

Kwa hiyo umeelewa kwa nini jiwe linarudi chini licha ya kutupwa juu?

Kwa mujibu wako, katikati ya ardhi kuna mvutano mkali.
 
Umesema vyema katikati ya dunia kuna mvutano mkali.

Kwa hiyo umeelewa kwa nini jiwe linarudi chini licha ya kutupwa juu?

Kwa mujibu wako, katikati ya ardhi kuna mvutano mkali.
Hiyo ni kwa mujibu wa hiyo sayansi yenu, mimi nimesema kwa kurejea nadharia ambayo wewe unaiamini

Hata katika uzi, nilitumia neno "kwa mujibu wa sayansi"
 
Ndege ni physical object, hewa haionekani....

Ni kipi husababisha hewa ibaki ndani ya uso wa dunia na isifike juu?
Kwenye physics hatutumii neno physical objects tunatumia neno matter. Na zipo katika state tofauti na zote zina chukua nafasi na zina mass
 
Sawa Mkuu, hapo umenipa mwanga kuhusu namna ya kuchukua vipimo vya kisayansi...

Lakini kupima inner core' pasipo kuifikia, sidhani kama inawezekana, labda zipo njia ambazo bado mimi na wewe hatujazifahamu

Kwèñye sayansi siô lazima ufike ndîo uchukue vipimo
Kûna njia nyingi huweza kutumika
 
Nilikimbia umande, ila ukiona nabisha basi ujue sijaridhika na majibu

Ulipaswa usome kipindi una fursa.ila hujachelewa siku hizi kuna vipindi vingi tu vya tv vya sayansi vinajibu maswali yote yanayosumbua udadisi wa mwanadamu. Wewe unasumbuliwa na udadisi wa kawaida kabisa ambao ni wa ngazi ya mtoto
 
Sawa nitazidi kudadisi kwa njia nyingine zaid
 
Hiyo ni kwa mujibu wa hiyo sayansi yenu, mimi nimesema kwa kurejea nadharia ambayo wewe unaiamini

Hata katika uzi, nilitumia neno "kwa mujibu wa sayansi"
Jiwe lipi litakuwa na kishindo kikubwa zaidi iwapo mojawapo likidondoshwa kwa kuachiliwa (siyo kusukumwa) kutoka kimo cha juu zaidi kuliko lingine, iwapo yanalingana uzito?

Kwa nini?

Ili kuelewa vyema mantiki hiyo, zingatia kwamba magari mawili barabarani yanayolingana uzito na kasi yatasabisha kishindo kilekile kinacholingana iwapo yakigonga mahali fulani, licha ya kwamba yanatokea umbali unaotofautiana.

Kwa nini mawe hayo yanayoachiliwa kutoka juu kwenye kimo tofauti yatokee kuwa na kishindo tofauti?
 
Jiwe lipi litakuwa na kishindo kikubwa zaidi iwapo mojawapo likidondoshwa kwa kuachiliwa (siyo kusukumwa) kutoka kimo cha juu zaidi kuliko lingine, iwapo yanalingana uzito?

Kwa nini?

Ili kuelewa vyema mantiki hiyo, zingatia kwamba magari mawili barabarani yanayolingana uzito na kasi yatababisha kishindo kilekile kinacholingana iwapo yakigonga mahali fulani, licha ya kwamba yanatokea umbali unaotofautiana.

Kwa nini mawe hayo yanayoachiliwa kutoka juu kwenye kimo tofauti yatokee kuwa na kishindo tofauti?
Hayo mawe uliyoandika hapo yanayohusiana vipi na mada husika?
 
Ndege ni physical object, hewa haionekani....

Ni kipi husababisha hewa ibaki ndani ya uso wa dunia na isifike juu?
Hewa nayo ni physical object. Ukitaka kupinga nako, ruksa.

Ukisema hewa haionekani, bila shaka wewe ndiye mshamba.

Rudi ukasome sayansi ya darasa la 3!
 
Mm sijaongelea kurusha jiwe nilikuambia kuhusu centripetal na centrifugal force huelewi, circular motion na rotational Dynamics hujui, maana ake huwezi kuelewa hata iweje najua ushalishwa matango pori huko unakuwa na fixed mind so bora ubaki na myth zako maana ukielewa au usipoelewa hamna kitu kitakachobadilisha uhalisia
Atakuelewa kweli...???
 
Hiyo ni kwa mujibu wa hiyo sayansi yenu, mimi nimesema kwa kurejea nadharia ambayo wewe unaiamini

Hata katika uzi, nilitumia neno "kwa mujibu wa sayansi"
Sasa kama unapinga majibu ya kisayansi, unataka majibu gani labda?
 
Hayo mawe uliyoandika hapo yanayohusiana vipi na mada husika?
Najua wewe ni mgumu kuunganisha doti. Ngoja nikusaidie.

Kinachorudisha jiwe chini kwa kulizuia lisiendelee na mwendo wake baada ya kurushwa juu, ndicho kilekile kinachosababisha hewa na vitu vingine visitoke kwenye uso wa dunia.

Nguvu hiyo ndiyo inajulikana kama kani mvutano.

Umeelewa sasa huo uhusiano?
 
Back
Top Bottom