Kama hewa itatoka katika eneo lililo na uwazi, je ni kitu gani huzuia hewa isitoke nje ya uso wa dunia?

Google kote nimepita na bado sijaona hoja yenye mashiko, naamini hapa nitapata mawazo au maoni tofauti.
Una uhakika umepita google yote
Umekutana na kina torriceli wewe ?

Hafu unachanganya open space na world

Source ya atmospheric pressure ni gravity inavuta hewa chini what is pressure so far its force per unit area

Na gaseous content zina colide oxyegen nitrogen etc zina create force
Na unatakiwa ujue kabla ya kufika spacs kuna layers kadhaa
1.. Troposphere
2. Stratosphere ambayo ina absorbs na ku scattter uv lights inshort ndio ina ozon
3. Mesosphere - layer ngumu hii ku observe ni too high for aircraft na too low for satellites ila. Hapa ndio meteors zinaungua
4. Thermosphere - ambako international space orbits znazunguka
Eeh nimechoka kasome na van allen radiation belts

After atmosphere kuna space sasa ambayo ni vacuum ina scarce amount of particles na effect of gravity kwanza ni minimum eeh tukiimbia hapa kwenye gravity utapotea
Space ina makundi yafuatayo sijui umesoma

1. Low earth orbit
2. Geostationary orbit
3. Cislunar orbit
4. Heliosphere.... Na nyingine nyingine

Mtoto analia wacha nimpe maziwa

Uwe unasoma mzee
 
Alafu hapo naskia umeandika garaka haraka tuu hata ujatulia dadek ahahahahahahahha nyie
 
Sasa kwa maelezo hayo, hapo Profile umemuweka Tesla kwa mantiki gani?
 
Kuna swali hapo linahitaji ufafanuzi wa wataalamu kama nyie...

Kwanini gesi hai escape hapa duniani....
Haha ndio ndio Yes, Earth's gas hai escape into space but only a tiny fraction of it
The Earth's atmosphere kwa kiasi kikubwa is retained due to the planet's gravity
Ingawa kuna gas kama helium. Zina reach escape velocity znakimbia hii dunia ya misala
Earth gravity ina retain gases

Fractions tu ndo zina ondoka

Mkuu hapo kuna mambo ya 1. Effect za gravity kwenye north pole
2.solar wind fractions
Zmacochezea baadhi ziondoke
Lakini most ziko retained

Jamani niiteni jukwaa la afya udaktari ndio professional yangu yaani

Mambo ya geography tena mnanichosha
Ngoja niendelee kumpa dogo maziwa sasa
 
Una uhakika umepita google yote
Umekutana na kina torriceli wewe ?

Hafu unachanganya open space na world

Source ya atmospheric pressure ni gravity inavuta hewa chini what is pressure so far its force per unit area

Na gaseous content zina colide oxyegen nitrogen etc zina create force
Na unatakiwa ujue kabla ya kufika spacs kuna layers kadhaa
1.. Troposphere
2. Stratosphere ambayo ina absorbs na ku scattter uv lights inshort ndio ina ozon
3. Mesosphere - layer ngumu hii ku observe ni too high for aircraft na too low for satellites ila. Hapa ndio meteors zinaungua
4. Thermosphere - ambako international space orbits znazunguka
Eeh nimechoka kasome na van allen radiation belts

After atmosphere kuna space sasa ambayo ni vacuum ina scarce amount of particles na effect of gravity kwanza ni minimum eeh tukiimbia hapa kwenye gravity utapotea
Space ina makundi yafuatayo sijui umesoma

1. Low earth orbit
2. Geostationary orbit
3. Cislunar orbit
4. Heliosphere.... Na nyingine nyingine

Mtoto analia wacha nimpe maziwa

Uwe unasoma mzee
Blah blah blah.....
 
Haha ndio ndio Yes, Earth's gas hai escape into space but only a tiny fraction of it
The Earth's atmosphere kwa kiasi kikubwa is retained due to the planet's gravity
Ingawa kuna gas kama helium. Zina reach escape velocity znakimbia hii dunia ya misala
Earth gravity ina retain gases

Fractions tu ndo zina ondoka

Mkuu hapo kuna mambo ya 1. Effect za gravity kwenye north pole
2.solar wind fractions
Zmacochezea baadhi ziondoke
Lakini most ziko retained

Jamani niiteni jukwaa la afya udaktari ndio professional yangu yaani

Mambo ya geography tena mnanichosha
Ngoja niendelee kumpa dogo maziwa sasa
Ahahahah aaaah hapo unazingua sasa kusema wewe umesoma afya mkuu ,,?
 
Ndio mimi ni daktari
Lakini ni scientist maisha yangu ya humu na nje ni tofauti
Nkiingia humu napenda kwenda majukwaa ya mapenzi michezo sipendi kuchangia hizi mada in real life mimi ni mpole so huwa sina mtu wa kuongea nae haya mambo maybe wife na few colleagues

Nasoma project haily mary sa hivi ni moto sana
 
Swalehe akili za kuharibu vitu ndani hapo kachukua kwa nani mpaka ujiite wewe mpole..?
 
Hayo yote ni matokeo ya indoctrination, sikulaumu Kwani umelishwa uongo na blah blah kibao
I appreciate your skepticism
It’s always beneficial to look at the broad base of evidence and the consensus among scientists when considering these topics ( i am a scientist I don't know who you are)
The explanations I've shared are based on robust scientific methods and empirical data, which have been peer-reviewed and validated by the scientific community.
If you have specific questions or doubts, I’d be happy to discuss them further and provide more detailed information or references to scientific literature that supports these concepts.. Rather than peeries mocking because you are talking with someone so highly valued with lots of knowledge and understanding
 
🙌🙌🙌🙌 Inatosha mtaalamu
 
Swalehe akili za kuharibu vitu ndani hapo kachukua kwa nani mpaka ujiite wewe mpole..?
He is quiet he is not swalehe by the way
I want him to be scientist so kuna muda tunavunja vitu ili tuvitengeneze upya

Kuna muda tuna go kwenye arts tuna draw
kuna muda tunacheza mpira nyumbani
We do lots of stuff i am proud to be their dad
 
Hamna nmempa layman term kama. Ana akili pale mwanzo nmemwelekeza kama. Hajaelewa basi mkuu

Thank you for tagging me i have to take care of this babies
Kabisa mkuu hapa ushamaliza kila.kitu na ndio mwisho wa uzi nadhani mana nilitegemea uje umalize mzozo huu hapa
 
He is quiet he is not swalehe by the way
I want him to be scientist so kuna muda tunavunja vitu ili tuvitengeneze upya

Kuna muda tuna go kwenye arts tuna draw
kuna muda tunacheza mpira nyumbani
We do lots of stuff i am proud to be their dad
Siku mtakuja kufungua, alafu mkashindwa kufunga wote wawili. Hapo ndi utajua how electronics inasaliti mtu practical
 
Back
Top Bottom