njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Jamani mkiambiwa Yanga sc ni mabingwa wa CAf champions league msimu wa 2022/23 msibishe na klabu bingwa ya dunia lazima wafike fainali kama siyo kuwa team ya kwanza Afrika kuchukua kombe hilo.
Habari za ndani ndani zinadai Kiungo mtaalamu wa PSG Idriss Gueye anatua jangwani na amekubali kuchukua mshahara mdogo wa dollar 100,000 tu kwa mwezi yaani mshahara wake kwa mwaka utakuwa tshs billions kama 3 ambazo udhamini wa azam unatosha kulileta jina hilo kubwa kabisa duniani.
Haya yote ni baada ya kiungo huyo mshika dini kukataa kuvaa jezi za kuuna mkono ushoga ile michezo ya kina cocastic sasa inavyoonekana anaenda kutimiza maneno yake kwamba bora arudi Afrika kulima, baada ya hapo teams kadhaa za Misri zenye mapesa zilimtolea macho lakini Injinia Hersi alipotia maguu mke wake alifurahia sana idea ya kuja kuishi Tanzania kwani alifanikiwa kuona filamu ya ROYAL TOUR YA MAMA SAMIA ilimvutia sana, ushawishi wa mke ukashinda.
Mkataba wake utakuwa wa miaka miwili , watoto wake watasomeshwa shule international hata kama ni chekechea, atakuwa huru kuchagua viwanja vya kucheza, hutaweza kumuona viwanja vibovu labda aamue.
Kwa kifupi atacheza mechi zote za kimataifa hadi ile ya fainali ambapo Yanga itakuwa bingwa wa Afrika na zile za klabu bingwa duniani
Yanga itatikisa Dunia kwa usajili huu na jinsi kiungo huyu alivyokubali kushusha mshahara wake ili achezee Yanga inadhihirisha kwamba brand ya Yanga na chapa Gsm zinajulikana sana duniani kwa sasa.
Ushawishi wa Injinia Hersi ni wa hali ya juu sana Yanga inabidi wamjengee sanamu kubwa na refu kama lile la Yesu kule Brazil.
Kikosi FIRST ELEVEN cha Yanga msimu mpya ni kama ifuatavyo.....DIARA, SHABANI, KIIZA,MWAMNYETO,BANGALA, IDRISSA GUEYE,MOLOKO,AUCHO,MAYELE,KI AZIZ, ADEBAYOR.
Morrison ataanzia benchi anaingia kama super sub
kinaweza kupanguliwa mda wowote kwani injinia bado anafatilia saini za Peter Shalulile na Luis miqquisone kwa mkopo toka aly ahly
***Adebayor na Ki aziz wino washamwaga mda sana
.