Kama hii ni kweli, CHADEMA hatuna viongozi tuna wapenda ndululu tu

Kama hii ni kweli, CHADEMA hatuna viongozi tuna wapenda ndululu tu

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
20231113_123400.jpg
 
mbowe wakishua, ile ni ofisi ya chama sio ofisi ya mbowe family... wala msilete siasa za mbowe kutajirika kwa hela ya chama, ofisi ya chama sio kipaumbele kwa chadema na kama kuna hoja wanatakiwa waulize wanachama kwenye mikutano yao, ila chadema haikosi hela ya kujenga ofis ya milion 500 yenye hadhi, nadhan sio kipaumbele chao.
kwahyo ndugu kamanda mchovu kama una dai la ofisi ya chama ifanane na nyumba ya mwenyekiti basi wasilisha hoja hyo kwenye vikao vya chama.
 
Sasa ulikua hujui kama chama cha watu sio kama walikua hawapokei ruzuku au sio kama walikua hawachukui asilimia kadhaa za mishahara za michango ya wabunge ila tumbo ni kubwa kuliko kichwa
 
Back
Top Bottom