mbowe wakishua, ile ni ofisi ya chama sio ofisi ya mbowe family... wala msilete siasa za mbowe kutajirika kwa hela ya chama, ofisi ya chama sio kipaumbele kwa chadema na kama kuna hoja wanatakiwa waulize wanachama kwenye mikutano yao, ila chadema haikosi hela ya kujenga ofis ya milion 500 yenye hadhi, nadhan sio kipaumbele chao.
kwahyo ndugu kamanda mchovu kama una dai la ofisi ya chama ifanane na nyumba ya mwenyekiti basi wasilisha hoja hyo kwenye vikao vya chama.