Kama hii ni kweli ndiyo maana CCM huwa wanaiba

Kama hii ni kweli ndiyo maana CCM huwa wanaiba

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,982
Reaction score
51,157
Nimekutana na hii clip mitandaoni na kuisikiliza na kama ni ya kweli basi ndiyo maana CCM huwa wanaiba mali za umma.

Kwenye Clip anaonekana Pereira Ame Silima akituhumiwa kuiba vitu toka kwa mke wake.

Ingawa mkewe ni mtata, lakini asipuuzwe moja kwa moja!!
 
View attachment 3289197
Kama mtu ushawahi kuwa waziri lakini bado vitu vyako vinatosha kwenye kirikuu basi hata hela wanazotuibia haziwasaidii😂😂😂
 
Zanzibar hamna hela. Yaani Tanzania diwani tu, ana inchi 300 Tv😂😂😂😂. Huko hawaibi, Bongo balozi au mtu awe waziri habebi vitu. Huyo pereira mbwa tu. Angalia vitu vya kufananisha😂😂😂😂, zanzibar hamna wizi.
Unajua marehemu seif alikua mtu mzito zanzibar, tena mtu wa mipango. Ila uliona shati tu zilikua zinamlegea. Njoo umuone kikwete au marehemu mwinyi huku bara, good life, full escort.😂😂😂😂,
Whatever sisemi Wanaiba ila wako vizuri, kuipigania nchi na kujipa heshima.
Lissu kama namuona mwakani ubelgiji na suti zake oversize kashaiba juke ya mkewe. 😂😂😂
 
Kama mtu ushawahi kuwa waziri lakini bado vitu vyako vinatosha kwenye kirikuu basi hata hela wanazotuibia haziwasaidii😂😂😂
Hela za uchawi na damu za watu...wengi wana tumiradi twao lakini asilimia kubwa aking'oka kwenye siasa mamabo yanaharibika
 
Back
Top Bottom