Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
ππππDuh moyo na mdomo koma
Wife kasema jamaa keshamwibia milioni 60. Sasa tena akataka kusepa na vyombo.R.I.P CCM mazishi ni mwaka huu
Kama mtu ushawahi kuwa waziri lakini bado vitu vyako vinatosha kwenye kirikuu basi hata hela wanazotuibia haziwasaidiiπππNimekutana na hii clip mitandaoni na kuisikiliza na kama ni ya kweli basi ndiyo maana CCM huwa wanaiba mali za umma.
Kwenye Clip anaonekana Pereira Ame Silima akituhumiwa kuiba vitu toka kwa mke wake.
Ingawa mkewe ni mtata, lakini asipuuzwe moja kwa moja!!
View attachment 3289197
Halafu hapo anatuhumiwa kuiba milioni 60 za bi mkubwa.Kama mtu ushawahi kuwa waziri lakini bado vitu vyako vinatosha kwenye kirikuu basi hata hela wanazotuibia haziwasaidiiπππ
Kumbe ndiyo maana yupo bize kuleta upupu humu JFπππ
Yeah, anajaribu kutupumbaza lakini wapi.Kumbe ndiyo maana yupo bize kuleta upupu humu JFπππ
Tlaa ni mpuuzi TU na umbwa TU! Hajitambui hata!
Gugo jina lake nimeweka hapo.Kwani huyo anayetuhumiwa kuiba ni nani
Hajitambui na wala hajijui.Tlaa ni mpuuzi TU na umbwa TU! Hajitambui hata!
Kuweka bando la kuingia JF na kumsifu SAMIYA.
Nimegugo nimeona alishawahi kuwa mbuge pia naibu waziriGugo jina lake nimeweka hapo.
Hela za uchawi na damu za watu...wengi wana tumiradi twao lakini asilimia kubwa aking'oka kwenye siasa mamabo yanaharibikaKama mtu ushawahi kuwa waziri lakini bado vitu vyako vinatosha kwenye kirikuu basi hata hela wanazotuibia haziwasaidiiπππ