No forum no erection hiyoZanzibar hamna hela. Yaani Tanzania diwani tu, ana inchi 300 Tvππππ. Huko hawaibi, Bongo balozi au mtu awe waziri habebi vitu. Huyo pereira mbwa tu. Angalia vitu vya kufananishaππππ, zanzibar hamna wizi.
Unajua marehemu seif alikua mtu mzito zanzibar, tena mtu wa mipango. Ila uliona shati tu zilikua zinamlegea. Njoo umuone kikwete au marehemu mwinyi huku bara, good life, full escort.ππππ,
Whatever sisemi Wanaiba ila wako vizuri, kuipigania nchi na kujipa heshima.
Lissu kama namuona mwakani ubelgiji na suti zake oversize kashaiba juke ya mkewe. πππ
Wengi sana wakitoka madarakani miradi Yao hufa. Hicho ni kiashiria kuwa hutumia madaraka yao ya kisiasa kujifaidisha.Hela za uchawi na damu za watu...wengi wana tumiradi twao lakini asilimia kubwa aking'oka kwenye siasa mamabo yanaharibika
Pesa wanayoiba inanunukiwa sana ndiyo maana wamepatwa na laanaKama mtu ushawahi kuwa waziri lakini bado vitu vyako vinatosha kwenye kirikuu basi hata hela wanazotuibia haziwasaidiiπππ
Hukujua CCM maana yake chama cha majambiwazi?Nimekutana na hii clip mitandaoni na kuisikiliza na kama ni ya kweli basi ndiyo maana CCM huwa wanaiba mali za umma.
Kwenye Clip anaonekana Pereira Ame Silima akituhumiwa kuiba vitu toka kwa mke wake.
Ingawa mkewe ni mtata, lakini asipuuzwe moja kwa moja!!
View attachment 3289197
Hela ya laana wanaishia kuitapanya kwa malaya tu. CCM ni laana kwa nchi hii.Kama mtu ushawahi kuwa waziri lakini bado vitu vyako vinatosha kwenye kirikuu basi hata hela wanazotuibia haziwasaidiiπππ
Hili halibishaniwi. Dhahiri shairi huu ndiyo ukweli!!CCM ni laana kwa nchi hii.