GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Simba SC hebu waoneeni Huruma Yanga SC kwani kuna tetesi (Habari zisizo rasmi) kuwa Mchezaji Simon Msuva (aliyedhaniwa kurejea Tanzania kuichezea Yanga SC) atatua Simba SC na kwamba huenda akatambulishwa pamoja na Kiungo wa Zambia Clatous Chama.
Yaani Winga ya Kulia Msuva, Winga ya Kushoto Sakho huku Playmaker akiwa Chama kwanini Meddie Kagere na Kibu Denis au Bernard Morrison wasiwe Wanakufunga sana na vile Watakavyo?
ANGALIZO
GENTAMYCINE sijasema wala Kuthibitisha kuwa Winga machachari (ambaye pia bila Kuficha ni Shabiki wa Simba SC) Simon Msuva anakuja Simba SC bali taarifa hii ni ya Kiutetesi tu na tetesi kuna muda zinatimia au zinapotea.
Sasa 'Visokolokwinyo' nishobokeeni mpate Dozi zangu na Akili zake ziwakae sawa na mjifunze Kuelewa maana ya Tetesi just ya Taatifa fulani hasa hizi Sajili zetu za Simba SC na Yanga SC.