Kama hii 'taarifa' ya Chama na Msuva 'Kutambulishwa' Simba SC Leo au Kesho nawaombea 'Msamaha' Yanga SC kwani Simba SC 'haitoshikika tena ndani na nje

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Simba SC hebu waoneeni Huruma Yanga SC kwani kuna tetesi (Habari zisizo rasmi) kuwa Mchezaji Simon Msuva (aliyedhaniwa kurejea Tanzania kuichezea Yanga SC) atatua Simba SC na kwamba huenda akatambulishwa pamoja na Kiungo wa Zambia Clatous Chama.

Yaani Winga ya Kulia Msuva, Winga ya Kushoto Sakho huku Playmaker akiwa Chama kwanini Meddie Kagere na Kibu Denis au Bernard Morrison wasiwe Wanakufunga sana na vile Watakavyo?

ANGALIZO

GENTAMYCINE sijasema wala Kuthibitisha kuwa Winga machachari (ambaye pia bila Kuficha ni Shabiki wa Simba SC) Simon Msuva anakuja Simba SC bali taarifa hii ni ya Kiutetesi tu na tetesi kuna muda zinatimia au zinapotea.

Sasa 'Visokolokwinyo' nishobokeeni mpate Dozi zangu na Akili zake ziwakae sawa na mjifunze Kuelewa maana ya Tetesi just ya Taatifa fulani hasa hizi Sajili zetu za Simba SC na Yanga SC.
 
Ingesemekana anakuja Yanga SC Kauli yako hii ungeisema / ungeandika hivi? Mnafiki mkubwa Wewe.
Punguza ukali wa.maneno chief

Hata angeenda yanga kwangu itakuwa n kufeli mkuu

Waende nje tuwe na timu imara ya taifa na watengeneze connection kwa wengine

Kwa Sasa samata TU ndyo anatuwakilisha na umri ndio huo Tena

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Simba SC hebu waoneeni Huruma Yanga SC kwani kuna tetesi (Habari zisizo rasmi) kuwa Mchezaji Simon Msuva (aliyedhaniwa kurejea Tanzania kuichezea Yanga SC) atatua Simba SC na kwamba huenda akatambulishwa pamoja na Kiungo wa Zambia Clatous Chama...
Hela ya kumlipa Msuva hamna, halafu Msuva kule anag'aa sio huyo Chama anaye fikiria starehe za Kidimbwi, 40/40 nk.Nilikuwa na matarajio Mengi kwa Chama alivyo odoka ila karudi ngojea tumuone.
 
Simba SC hebu waoneeni Huruma Yanga SC kwani kuna tetesi (Habari zisizo rasmi) kuwa Mchezaji Simon Msuva (aliyedhaniwa kurejea Tanzania kuichezea Yanga SC) atatua Simba SC na kwamba huenda akatambulishwa pamoja na Kiungo wa Zambia Clatous Chama.

Yaani Winga ya Kulia Msuva, Winga ya Kushoto Sakho huku Playmaker akiwa Chama kwanini Meddie Kagere na Kibu Denis au Bernard Morrison wasiwe Wanakufunga sana na vile Watakavyo?

ANGALIZO

GENTAMYCINE sijasema wala Kuthibitisha kuwa Winga machachari (ambaye pia bila Kuficha ni Shabiki wa Simba SC) Simon Msuva anakuja Simba SC bali taarifa hii ni ya Kiutetesi tu na tetesi kuna muda zinatimia au zinapotea.

Sasa 'Visokolokwinyo' nishobokeeni mpate Dozi zangu na Akili zake ziwakae sawa na mjifunze Kuelewa maana ya Tetesi just ya Taatifa fulani hasa hizi Sajili zetu za Simba SC na Yanga SC.
Yaelekea una ugonjwa wa kuhara

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom