interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,395
Usikariri hivyo Mkuu, tafiti vizuri nchi ya USA inaratibu mradi wa nyumba za kukodisha wananchi wake tangu 1880 na hadi sasa ina zaidi ya nyumba 500,000/=.KAZI YA SERIKALI C KUFANYA BIASHARA ILA NI KUKUSANYA KODI.
So mwananchi atapaswa kulipa kodi katika hiyo nyumba kwa kila mwaka, biashara zinafanywa sana na serikali sema tu ni lazima ziwe zimelenga pazuri katika mikakati mbinu thabiti na hubuni kila kukicha namna ya kuwavutia Wateja kwa kadri watavyobadilika tokana na mahitaj na uvutiwaji wao wa huduma pa1 na bidhaa kwa serikali husika.