interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,395
Haha haha haha haaaaaaaa.....mbavu zinaniuma sana kwa jinsi unavyonichekesha Mkuu"watanzania tembeeni vifua mbere kama mmepigwa ngumi ya mgongo"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha haha haha haaaaaaaa.....mbavu zinaniuma sana kwa jinsi unavyonichekesha Mkuu"watanzania tembeeni vifua mbere kama mmepigwa ngumi ya mgongo"
Aisee unajua sijui hii dunia ina mijitu ya namna gani Mkuu, sasa mbona kwa ninyi mliomtolea mifano kama hii hajawa-qout kuwakubali jinsi gani biashara ilivyo katika mazingira hayo ili asishangilie tu mapungufu yaliyojitokeza katika hiyo Air Tanzania?Sijaona Shida yoyote hapo
nilienda misri kutoka dar ndege abiria 12 tu ilikuwa mara yangu ya kwanza, safari ndefu
Nilishangaa but niliona nikajua ni mambo ya kaiwaida katika biashara sio kila siku wateja watakuwa wengi sometime inakuwa kama hivi
Lakini pia kumbuka adui haangalii mafanikio anakuwa anakutafutia uozo kila siku ili akutikise
so pia ingekuwa inacolapse basi wangeua hiyo route ama safari zote kiujumla i hope still they are doing good
Hahahaaaa..... Bongo bahati mbaya.Watu hawafanyi biashara za kubahatisha siku hizi haya mambo ya kusema biashara kuna kupata na kukosa mmebaki nayo nyie waswahili tu.
Basi mzikodishe sasa.Unafananisha Senene na kondoo wewe! Tizama investment ya coach vs ndege. Kww akili za aina yako tusitegemee maendeleo nchi hii. Hujui hata ROI, return of investment au Investment/Sales ratio ni nini halafu unathubutu ku comment kwenye mambo yaliyo juu ya upeo wako. Wakati mwengine kunyamaza kimya ni busara sana
Unaweza kutuambia hiyo ndege ilikuwa ya shirika gani? Bado wanaendelea kutoa huduma from Dar to Cairo?Sijaona Shida yoyote hapo
nilienda misri kutoka dar ndege abiria 12 tu ilikuwa mara yangu ya kwanza, safari ndefu
Nilishangaa but niliona nikajua ni mambo ya kaiwaida katika biashara sio kila siku wateja watakuwa wengi sometime inakuwa kama hivi
Lakini pia kumbuka adui haangalii mafanikio anakuwa anakutafutia uozo kila siku ili akutikise
so pia ingekuwa inacolapse basi wangeua hiyo route ama safari zote kiujumla i hope still they are doing good
Ulaya ndiyo ardhi pekee ambayo Mtu anaweza kuwa na fani zaidi ya 1 na akazimiliki zote katika ufanisi sahihi kwa wakati mmoja tofauti na sisi Watanzania tulip na mitazamo hasi.Kulingana na hii Twitter, yaelekea mwandishi ni mtu wa UGANDA.
Swali ni Je, UGANDA AIRLINES or any Airline kama Kenya Airline,ziliondoka/huondoka na abiria wangapi KIA-ENTEBBE?
Magufuli laikuwa anafikri ukinunua Ndege basi kazi imeisha yaani ni kuvuna pesa tu..!!!Hii ni akili mbovu kabisa kufikri kuwa kwa vile wewe ni Rahisi kila unachofikiri/kutenda ni sahihi...Huwezi kuwa bingwa wa KEMIA ukategemea kuwa unaweza ukafanya na BIASHARA ya kurusha ndege angani.Never..!! Very soon ATC wataanza kuvuna HASARA tupu!!!
GoodNovember 30 ndege ya abiria 144 ilipata abiria mmoja tu kwenda Thai island.
Mwaka jana ndege ya abiria iliyokuwa inaenda Malta ilipata abiria mmoja tu.
Haya ni mambo ya kawaida sana.
Aisee kumbe umekufa huku unachati?hamuwezi kuwa busy kila siku kuwafanya wenzenu ni second class,kuwanyanyasa ,kuwateka,kuwaua halfu wasifurahie vimeo vyenu vikifeli.
Haha hahaaa...hiyo ndiyo JF Mkuu.Umeelewa au umejiandikia tuu ili uonekane na wewe uko on line
Bora hata wewe Mkuu huwa unaongea kwa hoja murwa si kimhemko wa siasa kama mleta mada.Wazo zuri sana.
Haki elimu tenteee....!MBONA KAMA TWITA YA MKENYA??
UNATEGEMEA ATAKUSIFIA NA KQ INAWAPASUA KICHWA KILA SIKU??
FIKIRIA, TAFAKARI, CHUKUA HATUA...
Aisee kumbe pale Julius Nyerere International Airport kuna nyani na sokwe ila siyo Watu?Jinga hasa wewe,basi unafananisha na ndege? Angani kuna vituo vya kubebea watu?
Aisee hilo profile lako nimelipenda bure jinsi unavyoonesha inavyopasa Mwanamke akunyenyekee katika maadili bora, siyo kama wale wanaowapigia magoti chini ili wawavalishe pete.JIWE alishatangaza kuwa SERIKALI haipati HASARA.
- CHA MUHIMU NI SIFA TU KWA JIWE.
#ViWonder
Wazo zuri sanaNdege siyo kama basi. Inabidi walipie uwanja, mafuta, wahudumu, vyakula na usafi kwenye ndege ambavyo vinafanywa na viwanja wanakotua. Hesabu ni kiasi gani wanapoteza?
Tusiwe tunaongea kisiasa, tuongee kiuchumi. Kwenda Uganda kutoka Dar hailipi sababu wafanyabiashara wengi hawachukui mzigo kule na ujue hakuna shughuli zaidi na watu wenye uhusiano na uganda wapo kanda ya Ziwa. Wangetumia ndege ndogo ya kubeba abiria hata hamsini au less than that kama tunavyotumia Auric sababu ile haipati hasara.
Kama kuna ukweli vile?Wasipoangalia hli shirika litarudi lilikotoka mapema sana..
Kiongozi wa hii nchi hana tofauti na baba anaechukua pesa na kwenda kununua suti na vitu vya dhamani ili tu washkaji zake wamuone anazo wakati nyumbani watoto wanashindia uji wa chumvi..ujinga ujinga tu!
Nachekaje hapa kisirisiri....Sasa Greamliner ndio nini?
Bongo bahati mbaya kuzaliwa sisi tunaojielewa Mpendwa.Jaman hata kama kweli hatumpendi jiwe basi tupende hata vyetu, hio ATC sio ya jiwe ni ya Tanzania ndio maana haijaandikwa pale Air Jiwe, imeandikwa Air Tanzania,,liwalo na liwe awe amekaa madarakan miaka 5,10, ama hata 50 but siku moja ataondoka na kuziacha hizi jasho zetu..tweet hii ni uongo uliopitiliza, ndege zs nchini kwetu zinazoenda entebbe ni mbili, ikiwa ni PW na ATC, siku zoote ndege ya kwanza kuja ni ATC, tena normally unakuta 2 days before departure its fully booked, u can even confirm this online just check wherever ur, ndio ndege iende entebbe with 6 pass????
Kuna hakuna akiri kabisa pamoja na kwamba wana madgrii.Jamaa kila siku yeye ni kutafuta na kufurahia mapungufu tu.
Mjumbe kumbuka haya ni makampuni ambayo tayar yalishakuwa Long Plan, na kufanya Feasibiltu Study....Hizi ni changamoto za biashara japokuwa ni ngumu kutoa maamuzi kwa kutumia flight moja.Je ni kila siku hakuna wateja au ni siku hiyo tuu?Na jee ilivyokua inarudi Entebe Kilimanjaro, hali ilikua hivyo hivyo?
Niliwahi kushuhudia Egypt Air Airbus 320 from Cairo to DSM ikiwa na abiria 20.
So hizi ni changamoto na ninaamini wahusika wakiona route hailipi wataifuta au kupunguza idadi ya safari kama KQ walivyofanya route ya NBO to New York.