KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
May ni low season.
Hata daladala wakati wa mchana zinakuwa hazina abiria kabisa. Au asubuhi wakati zinatoka city center.
Kama hujui biashara ya daladala ukiona daladala inatoka Kariakoo na abiria 2 inaelekea Tandika unaweza kusema Dar watu wamehama au wanatumia magari binafsi.
Ila yote yawezekana, shirika hili nasikia linajiendesha kwa hasara
Itabidi serikali na sisi sote tukubali tu kwamba kwa sasa, sababu kuu ya kuwa na shirika la ndege letu wenyewe si kufanya biashara bali ni kuweka hadhi ya taifa. Tukubali kuliendesha huku tukipata hasara.