Kama hii tweet ni kweli basi Air Tanzania ni ya kuhurumiwa

Kama hii tweet ni kweli basi Air Tanzania ni ya kuhurumiwa

May ni low season.
Hata daladala wakati wa mchana zinakuwa hazina abiria kabisa. Au asubuhi wakati zinatoka city center.
Kama hujui biashara ya daladala ukiona daladala inatoka Kariakoo na abiria 2 inaelekea Tandika unaweza kusema Dar watu wamehama au wanatumia magari binafsi.
Ila yote yawezekana, shirika hili nasikia linajiendesha kwa hasara

Itabidi serikali na sisi sote tukubali tu kwamba kwa sasa, sababu kuu ya kuwa na shirika la ndege letu wenyewe si kufanya biashara bali ni kuweka hadhi ya taifa. Tukubali kuliendesha huku tukipata hasara.
 
Not ready to swallow everything from twitter. Kweli, ni kazi ngumu.

Btw., KQ siwasikii tena na safari yao ya Nairobi New York! Done? Collapsed, failure? Hahaaa!

Walishasema wazi wanasitisha Coz hamna wateja that’s business... nyie mnafanya alimradi kukomoa wakosoaji wenu!!
 
Minitu kama nyie ndio sawa na wale wana wa israel wametoka utumwani wanafika jangwani wanatamani tena kurudi utumwani kwa sababu kule wameaacha masufuria ya nyama na pilau!

Hivi hao walioweza waliaanzaje? Unafikiri waliibuka tu?

Walianzia mahali lakini wakiwa wanajua wanalotaka kufanya (i.e. walifanya marketing and business plans). Unlike jiwe and co.
 
Zinatua ndege 2 kwa mpigo kila ndege itasafirisha abiria wawili.
 
Schengen is located in Luxembourg’s Moselle Valley, home to the country’s flourishing domestic wine industry (Credit: Valerii Shanin/Alamy)
1544536754341.png
 
Kama umeandika ukiwa serious basi taifa hili liko kwenye majanga makubwa ya kuwa na vijana malofa,wajinga na wapumbavu. Ila naamini hauko serious just unaleta joki tu
Ndege 7 tumenunua cash kwa pesa yetu wenyewe, 2 A220 sisi ni wa kwanza Africa kuwa nazo! kwani shida iko wapi? Nani anatudai, tutapanda wenyewe hata bure,! Uzalendo kwanza.
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Kama unafikiri Air Tanzania wafanya biashara basi utakuwa uko kwenye usingizi wa pono ........ endelea kulala maana ndoto za asubuhi ni tamu sana ...............!!

Wewe unafikiria biashara lakini wenzio wanafikiria 10% yao itakuja lini? Hiyo DREAMLINER ndio hivyo haina pahala pa kwenda kila siku imepark, ikienda ENTEBBE inabeba abiria 6 je hapo kuna biashara kweli au pengine biashara kichaa!! Hata hivyo hao wenye biashara yao wanakwambia wameagiza ndege kubwa nyingine tatu ziko njiani zinakuja mwezi huu!!! Bongo ni nchi ya ABUNUWAS!!!
 
Hata basi za Modern kutoka Mwanza kwenda Nairobi mara nyingine huwa zinabeba hadi watu 15 kwenda Nairobi. Biashara kuna kupata na kukosa.
Unafananisha Senene na kondoo wewe! Tizama investment ya coach vs ndege. Kww akili za aina yako tusitegemee maendeleo nchi hii. Hujui hata ROI, return of investment au Investment/Sales ratio ni nini halafu unathubutu ku comment kwenye mambo yaliyo juu ya upeo wako. Wakati mwengine kunyamaza kimya ni busara sana
 
Back
Top Bottom