interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,395
Usikariri hivyo Mkuu, tafiti vizuri nchi ya USA inaratibu mradi wa nyumba za kukodisha wananchi wake tangu 1880 na hadi sasa ina zaidi ya nyumba 500,000/=.KAZI YA SERIKALI C KUFANYA BIASHARA ILA NI KUKUSANYA KODI.
Kama tunajua hali halisi ni hii kwann tulipoteza pesa zetu?November 30 ndege ya abiria 144 ilipata abiria mmoja tu kwenda Thai island.
Mwaka jana ndege ya abiria iliyokuwa inaenda Malta ilipata abiria mmoja tu.
Haya ni mambo ya kawaida sana.
NAKAZIA KUWA HII NCHI YETU IMEJAA SANA NA VILAZA AMBAO KILA KITU KWAO NI NEGATIVELY APPROACHEDHaya mambo hutokea kwenye usafiri wa Ndege. Hata mabasi pia hali hii hutokea. Msiwe na negative thoughts every time.
If you don't plan you are planning to fail.
Kuna failures zingine ni za kujitakia, shirika linaanzaje biashara sensitive kama hii bila kufanya research na kuwa na business plan, matokeo yake ni kurupuka kupeleka ndege Entebe bila kujua flow ya abiria kwa kutafuta kiki za kisiasa.
Hakuna wateja! Route ndefu hivyo waliianzisha kama mama ntiie? bila hata uchunguzi! Ni kujiamini kuliko kipimo. Kenya kuna nini kuhalalisha safari ya New York? Maua?Walishasema wazi wanasitisha Coz hamna wateja that’s business... nyie mnafanya alimradi kukomoa wakosoaji wenu!!
Ulichokiandika hakihusiani na mjadala huu. Nikisoma naona mapungufu ya ufahamu wako. Tulia, jifunze polepole, baadaye utakomaa na kutoa michango mizuri, kama una kichwa cha kujifunza maana sioni kama kuanzia July ulipo join umeweza kuongeza ufahamu.Mwongo! " collapsed, failure"
Huwasikii wapi? Mbona wameeleza kuwa wamepunguza kiasi cha safari na sio hiyo "collapsed, failure" unayoshangilia wewe!
Sasa hapa unataka tukusifu kuwa unajua jambo hilo kuzidi wengine?
Naomba nitabili kwamba watapunguza tenana tena hadi sifuri. Huwezi kuanzisha safari kwa ajili ya watalii. Huo ni ujinga. Wazoefu kuliko Kenya kama KLM, wako hewani kwa mtindo wa Hub yao ya Amsterdam. sasa KQ INa uwezo gani wa kukusany abiria kuwaleta NRB. Watoke wapi?Kenya wapo wanapiga safari. Sema tu badala ya siku saba 7 wamefanya kuwa 5, sio mbaya wanakusanya watalii.
Kiukweli Kenya wako mbali ktk mengi, hata kama ni kujigamba waacheni maana ni haki yao.
Ngoja nikufundishe.Ulichokiandika hakihusiani na mjadala huu
Unaona ulivyo mpuuzi? Sasa unatabiri tena, baada ya kusema 'collapsed, failure'?Naomba nitabili kwamba watapunguza tenana tena hadi sifuri.
Unacompare ndege na dadadala hizi wanazojaza wese la ten?May ni low season.
Hata daladala wakati wa mchana zinakuwa hazina abiria kabisa. Au asubuhi wakati zinatoka city center.
Kama hujui biashara ya daladala ukiona daladala inatoka Kariakoo na abiria 2 inaelekea Tandika unaweza kusema Dar watu wamehama au wanatumia magari binafsi.
Ila yote yawezekana, shirika hili nasikia linajiendesha kwa hasara
Nini kimekuonyesha kuwa jamaa anafurahia mapungufu? Nadhani wewe ndiye mwenye mapungufu huwezi kuchambua mambo. Kwa uchambuzi wako nadhani ulitaka jamaa akae kimya anapoona mapungufu. Kwa faida ya nani?Jamaa kila siku yeye ni kutafuta na kufurahia mapungufu tu.
Unacompare ndege na dadadala hizi wanazojaza wese la ten?
Egypt AirUnaweza kutuambia hiyo ndege ilikuwa ya shirika gani? Bado wanaendelea kutoa huduma from Dar to Cairo?
Yaaani mkuu kuna shida sana kwetu sisi wafricaAisee unajua sijui hii dunia ina mijitu ya namna gani Mkuu, sasa mbona kwa ninyi mliomtolea mifano kama hii hajawa-qout kuwakubali jinsi gani biashara ilivyo katika mazingira hayo ili asishangilie tu mapungufu yaliyojitokeza katika hiyo Air Tanzania?
Jamaa lina chuki za kiwango cha juu sana kwa lolote afanyalo Raisi wetu hata shetani analishangaa Mkuu
Point.Sijaona Shida yoyote hapo
nilienda misri kutoka dar ndege abiria 12 tu ilikuwa mara yangu ya kwanza, safari ndefu
Nilishangaa but niliona nikajua ni mambo ya kaiwaida katika biashara sio kila siku wateja watakuwa wengi sometime inakuwa kama hivi
Lakini pia kumbuka adui haangalii mafanikio anakuwa anakutafutia uozo kila siku ili akutikise
so pia ingekuwa inacolapse basi wangeua hiyo route ama safari zote kiujumla i hope still they are doing good
May ni low season.
Hata daladala wakati wa mchana zinakuwa hazina abiria kabisa. Au asubuhi wakati zinatoka city center.
Kama hujui biashara ya daladala ukiona daladala inatoka Kariakoo na abiria 2 inaelekea Tandika unaweza kusema Dar watu wamehama au wanatumia magari binafsi.
Ila yote yawezekana, shirika hili nasikia linajiendesha kwa hasara